Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Samia na Rostam azizi na kikwete ndiyo sababu za watanganyika kunya 👉💩 mara 1 kwa siku 3 na kama hawa washenzi wakiachwa hai hadi 2028 basi watanganyika watakunya mara 1 tu kwa siku 4Salamu
Nmekua nikifanya utafiti na nikagundua asilimia kubwa ya watanzania upata choo kikubwa kila baada ya siku 3 na hii sio ishara nzuri hasa katika upande wa lishe na afya kwa ujumla.
Mtu anaekula mlo kamili yani protin, wanga , mafuta, maji na vyakula vya nyuz nyuz lazma apate choo kila sku lakn hii hali ni tofaut kwa watanzania wengi
Na wakipata choo katika hizo siku 3, aisee ndani akukaliki hiyo halafu yake kama kafa paka, nyumba nzima itanuka na watu wenywe roho ndogo watatoka nje kupata hewa saf
Na kama unaishi kwa shemej bas watoto wake watasema mjomba yupo chooni.
Tujitahidi angalau kunywa maji mengi ili tupate choo walau mara moja kwa siku ili tutunze afya zetu
Nawasilisha
At least 1Kwani standard ni kupata choo mara ngapi kwa siku/wiki?
Dar uko wengne wanavusha wiki bila kunyaHii ni kweli kabsa, nikiwa mkoani kila siku lazima nipate choo kikubwa tena heavy na laini.. ila Sasa nikiwa Dar es Salaam napata choo kikubwa kila baada ya siku mbili au Moja, na choo chenyewe Kigumu na kidogo mno.
Honestly vyakula vya Dar vinaua Kinga ya mawili, ni Mungu tu anatulinda.
Bila shaka hii ☝️ ilishakukumba na ndiyo iliyokufanya utoke pale kwa shemeji mkuu.Na kama unaishi kwa shemej bas watoto wake watasema mjomba yupo chooni
Unamatatzo ya afya ungekua USA au Europe ungewekwa ICUMatracco yako! Utafiti wako ni wa kipuuzi, mimi nakataga nyengo mara 1 kwa wiki, yaani 1 kwa 7.
Huu utafit na wa kwel najua hapa wengi mtapinga lakn ukwel mnao moyonUnajipima kwa niaba yetu, nani kakupa uhalali.?
Tena Dogo punguza kijiti, kwa uzoefu nilionao wala kijiti wengi wana kesi nyingi zinazofanana na hizi
Unakunya mara ngapi kwa wiki?Hii nayo ni Mada ya kujadili?
Chini sana ni Mara 10. Lakini kawaida ni 14.Unakunya mara ngapi kwa wiki?
Kwani standard ni kupata choo mara ngapi kwa siku/wiki?