Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kama unaambiwa mkataba ni wa milele maana yake bandari itakuwa ni ya waarabu tu hata bonde la ufa likigawanya bara la afrikaDuh! Sijui baada ya bara kujigawa Bandari itakuwa bado na Waarabu!!
Hata simu hiyo unayotumia ndyo hao hao vichaa wanaipenda wakakuletea wewe.Hawa Ni vichaaa wao wajadili ushoga tu maaana ndo waupendao
Hatuta Kufa na kufufuka.hapo tutakufa na kufufuka bila hio hali kutokea.....
imekwenda hioooooooo
DP Nyika.
Akili zetu zimelala mkuu kuna wngne utasikia yesu atosha , yesu angetosha sizani kama ata apa tungekuwa tuna chati watu wasingefikiri njee ya box.Ndo waliokupa simu, internet, Ndege na kila kitu unachotumia. Wewe umegundua nini?
Kuleta mambo ya ushoga kwenye mada isiyohusiana inaonyesha unawaza ushoga muda wote hence wewe pia ni shoga.
Miaka milioni tano ijayo dpnworld watakuwepo?Shirika la Anga la Marekani (Nasa) kupitia utafiti wake mpya uliochapishwa Juni 2023 umeonyesha dalili za kugawanyika mara mbili Bara la Afrika miaka milioni tano ijayo baada ya bonde la ufa lililopo Kenya na Ethiopia kuzidi kuongezeka.
Taarifa iliyochapishwa katika mtandao wa ‘Daily Mail’ wa Uingereza inaonyesha mgawanyiko huo unasababishwa na kusukumwa kwa safu kubwa ya mawe yenye joto kali katika kiini cha dunia.
Pia, utafiti huo unaonyesha baada ya Afrika kugawanyika mara mbili nchi za Tanzania, Kenya, Somalia na sehemu ya Ethiopia itaunda bara jipya litakaloongeza idadi ya mabara kutoka saba hadi nane.
“Wanasayansi wametabiri kwa muda mrefu kwamba Afrika inatazamiwa kugawanyika mara mbili, na kuunda bara jipya ambalo litakuwa na nchi za; Somalia, nusu ya Ethiopia, Kenya na Tanzania,”imeripoti Daily Maily
Kinachotajwa kuligawa Bara la Afrika ni Bonde la Ufa ambalo lilikuwapo tangu miaka 22 iliyopita, lakini ilianza kuonekana zaidi mwaka 2005 katika eneo la jangwa Ethiopia kabla ya kuongezeka zaidi mwaka 2018 nchini Kenya katika eneo la Maai Mahiu-Narok.
Profesa Ken Macdonald wa Chuo Kikuu cha California amesema baada ya Bara la Afrika kugawanyika pia kutaundwa bahari nyingine ambayo itaongeza idadi ya bahari duniani kutoka nne zilizopo hadi tano.
"Tunachojua ni kama mpasuko huu utaendelea kwa kasi yake ya sasa na hatimaye kufungua bonde la bahari (Bahari Nyekundu) na baadaye itaunda toleo dogo la Bahari ya Atlantiki.
Vilevile, katika utafiti wa Nasa unaonyesha ufa wa maili 35 ambao ulionekana mwaka 2005 Ethiopia tayari unaonyesha dalili za bahari mpya karibu katika eneo hilo.
Hata hivyo, gazeti dada la Daily Nation nchini Kenya lilifanya mahojiano na mtaalamu wa miamba, David Adede ambaye alieleza namna Bonde la Ufa katika eneo la Maai Mahiu-Narok lilivyotokea mwaka 2018.
“Naamini kuwa mpasuko huo ulikuwa umejaa majivu ya Volcano lakini mvua kubwa ilivyonyesha iliyasomba na kufichua ufa,” alisema.
Pia, gazeti la Economic Times la Uingereza limeripoti sababu nyingine ya mgawanyiko wa Bara la Afrika ni mijongeo ya bamba za tektoniki (tectonic plates) zinazojitenga.
“Ufa katika eneo la Ethiopia na Kenya limesababishwa na mijongeo ya bamba tatu za tektoniki ambazo tayari zimekuwa zikijitenga kwa muda ambazo ni Nubian Afrika, Somalian Afrika na Arabian Afrika,”
MWANANCHI
Kwahyo sisi tutakuwa Madagascar Pro-max
Utakalia kuongea upuuzi tuu wakati wenzako wako serious na research, no wonder Trump akawaita shit hole [emoji874] countries...Hawa Ni vichaaa wao wajadili ushoga tu maaana ndo waupendao