Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Imani kitu kibaya Sana, ukifanya mchezo unaweza kumkataa hata mzazi wako.Imani imewezaje aisee? Elimu imefeli kabisa, pamoja na kuwa na waalimu maprofesa, wameshindwa kuwajaza watu elimu kama hao wahubiri? Kama gharama zinakaribiana tu tofautu huku unahimizwa kutoa zaidi kule unalazimishwa kulipa kilichopangwa.
Kama Jesus kwa Mama yake, alipoambiwa mama yako yupo nje atoke aonane nae.Imani kitu kibaya Sana,ukifanya mchezo unaweza kumkataa hata mzazi wako
Indeed [emoji23][emoji23][emoji23]Kama Jesus kwa Mama yake, alipoambiwa mama yako yupo nje atoke aonane nae.
Umasikini unafanya tuwe hivyoImani imewezaje aisee? Elimu imefeli kabisa, pamoja na kuwa na waalimu maprofesa, wameshindwa kuwajaza watu elimu kama hao wahubiri? Kama gharama zinakaribiana tu tofautu huku unahimizwa kutoa zaidi kule unalazimishwa kulipa kilichopangwa.
Illiterate souls!!, unajua maana ya soul?"Religion is a modern superstition" and works best on illiterate souls
Kwahiyo yana madhara au hayana?Sio vibaya watu wameamua kumrudia Mungu ndio nyakati za mwisho hizi.Maana hata hapo awali walikuwa wanaenda kwa waganga walikuwa wanachanganya maji ya kupikia chakula na damu ya kwanZa ya hedhi ndio maana mm niliacha kula kwa mama ntilie bora hayo mafuta yanakuwa hayana madhara sana ukilinganisha na damu ya hedhi.🤔
But Mr mwamposa's style can not be called a religion,it is a scam that hidden on the shadow of religion."Religion is a modern superstition" and works best on illiterate souls
Hayana madhara ni mafuta ya kawaida tu ya kupikia ila yanakuwa yanaombewa sio lazima yatoke direct kwa mchungaji, unaweza kuwa na ndoo yako ya mafuta ukapeleka kanisani yakaombewa au ukashiriki maombezi ya kuyaombea hayo mafuta kupitia njia ya Tv kama alivyokuwa anafanya TB Joshua, Mwamposa na wachungaji wengine wana vipindi vya Tv na redio vya kuombea maji na mafuta.Kwahiyo yana madhara au hayana?
Mkuu ulichoongea kina uwiano na ukweli?Umasikini unafanya tuwe hivyo
if taifa lingewekeza zaidi kwenye elimu, maarifa na individual empowerment, haya mambo yangeweza kuwa challenged
Bahati mbaya baadhi ya watawala huona kwamba empowering people ni threat kwao
Lakini naamini, tutafika tu
if the current president akitekeleza kauli zake za haki, usawa na community development and empowerment
Maarifa babaaaaMkuu ulichoongea kina uwiano na ukweli?
Mbona kuna watu ni wasomi wenye Bachelors,masters,phd na maisha mazuri lakini wanakwenda kujazana huko kwa mwamposa na gwajima.
Unataka kusema hawa nao hawajawezeshwa na serikali?
Sasa mkuu ikitokea upo safarini na una njaa utafanyaje utagoma kula?Sio vibaya watu wameamua kumrudia Mungu ndio nyakati za mwisho hizi.Maana hata hapo awali walikuwa wanaenda kwa waganga walikuwa wanachanganya maji ya kupikia chakula na damu ya kwanZa ya hedhi ndio maana mm niliacha kula kwa mama ntilie bora hayo mafuta yanakuwa hayana madhara sana ukilinganisha na damu ya hedhi.[emoji848]
Hata nikiwa safarini huwa sinunui chakula kwa sababu sio tu kwamba ni uchafu bali vyakula vya safarini ni gharama sana unapelewa mgahawa msosi buku 5 hata haushibi huwa naunua bites na soda au juice hata niwe nsafiri siku 3.Sasa mkuu ikitokea upo safarini na una njaa utafanyaje utagoma kula?