Utafiti binafsi: Vyakula vingi vya mama nitilie Dar es Salaam vinatiwa mafuta na maji ya upako

Utafiti binafsi: Vyakula vingi vya mama nitilie Dar es Salaam vinatiwa mafuta na maji ya upako

Kila goti litapigwa kukiri----- unaenda kwa mganga anakwambia nenda ukaombewe dawa hatuna
 
Hata nikiwa safarini huwa sinunui chakula kwa sababu sio tu kwamba ni uchafu bali vyakula vya safarini ni gharama sana unapelewa mgahawa msosi buku 5 hata haushibi huwa naunua bites na soda au juice hata niwe nsafiri siku 3.
Ooh sawa ni maamuzi mazuri na inasave gharama.
Kule barabara ya uchagani chakula elfu 7 na haushibi vizuri inakulazimu uongezee na soda ili kulidanganya tumbo.
 
Watanzania wengi ni wapumbavu sana, sishangai inaweza kuwa kweli, maana hata ndugu zangu wachaga watafutaji wa kila namna walienda kukanyaga mafuta ya alizeti kule moshi wakafa.
Acha kutukana ndugu zako.
 
Sio vibaya watu wameamua kumrudia Mungu ndio nyakati za mwisho hizi.Maana hata hapo awali walikuwa wanaenda kwa waganga walikuwa wanachanganya maji ya kupikia chakula na damu ya kwanZa ya hedhi ndio maana mm niliacha kula kwa mama ntilie bora hayo mafuta yanakuwa hayana madhara sana ukilinganisha na damu ya hedhi.🤔
Wtf...!?? Damu kama damu au umeamua kuzingua tuu
 
Ooh sawa ni maamuzi mazuri na inasave gharama.
Kule barabara ya uchagani chakula elfu 7 na haushibi vizuri inakulazimu uongezee na soda ili kulidanganya tumbo.
Kuna mgahawa hapo kwa Mzee wa Msoga abiria wanaopelekwa pale gari ikipaki kumi kwa mmoja ndio wananunua chakula wengi wanaishia kununua maji tu.Inasemekana ndio mgahawa ghari sana ukiwa safarini kwa njia hiyo.
 
Habari!

Nimeongea na mama nitilie kadhaa nimegundua kuwa sasa wameamua kuachana na waganga wa kienyeji katika kukuza biashara zao. Na sasa wameamua kutumia mafuta na maji ya upako ambavyo vinapatikana kwa bei ndogo na kwa uwazi.

Bila kujali dini au madhehebu yao wamama na wadada hawa wajasiriamali wanatumia mafuta na maji ya upako kunyunyizia biashara zao ili kuvutia wateja.

Kuhusu madhara kwa watumiaji wa vyakula na bidhaa zao haiwahusu na hawajui lolote. Wanachojua ni kwamba mafuta ya upako yanavutia wateja.

Sasa mpaka wanaume baadhi wanatumia mafuta na maji ya upako kwaajili ya kuboost shughuli zao.
Hayo mafuta na maji yanayoitwa upako nao ni uchawi pia na vinatolewa na waganga wa kienyeji waliojipachika majina ya viongozi wa dini.
 
Sio vibaya watu wameamua kumrudia Mungu ndio nyakati za mwisho hizi.Maana hata hapo awali walikuwa wanaenda kwa waganga walikuwa wanachanganya maji ya kupikia chakula na damu ya kwanZa ya hedhi ndio maana mm niliacha kula kwa mama ntilie bora hayo mafuta yanakuwa hayana madhara sana ukilinganisha na damu ya hedhi.[emoji848]
Hakuna ubora hapo
 
Habari!
Nimeongea na mama nitilie kadhaa nimegundua kuwa sasa wameamua kuachana na waganga wa kienyeji katika kukuza biashara zao.
Na sasa wameamua kutumia mafuta na maji ya upako ambavyo vinapatikana kwa bei ndogo na kwa uwazi.
Bila kujali dini au madhehebu yao wamama na wadada hawa wajasiriamali wanatumia mafuta na maji ya upako kunyunyizia biashara zao ili kuvutia wateja.
Kuhusu madhara kwa watumiaji wa vyakula na bidhaa na zao haiwahusu na hawajui lolote. Wanachojua ni kwamba mafuta ya upako yanavutia wateja.
Sasa mpaka wanaume baadhi wanatumia mafuta na maji ya upako kwaajili ya kuboost shughuli zao.
of which is blessing kulinganisha na samaki ambao wanakaushwa na dawa za maiti au alkasusu inayo-ongezewa viagra.
 
Habari!

Nimeongea na mama nitilie kadhaa nimegundua kuwa sasa wameamua kuachana na waganga wa kienyeji katika kukuza biashara zao. Na sasa wameamua kutumia mafuta na maji ya upako ambavyo vinapatikana kwa bei ndogo na kwa uwazi.

Bila kujali dini au madhehebu yao wamama na wadada hawa wajasiriamali wanatumia mafuta na maji ya upako kunyunyizia biashara zao ili kuvutia wateja.

Kuhusu madhara kwa watumiaji wa vyakula na bidhaa zao haiwahusu na hawajui lolote. Wanachojua ni kwamba mafuta ya upako yanavutia wateja.

Sasa mpaka wanaume baadhi wanatumia mafuta na maji ya upako kwaajili ya kuboost shughuli zao.
Tuhamie kwenye migahawa ya wapemba wa kiume
 
Wametulisha vitu vya ajabu wee! Sasa wanatuponya.
Ila kusema ukweli matumbo yetu yanakutana na mengi, yangekuwa yanaongea!
 
Sio vibaya watu wameamua kumrudia Mungu ndio nyakati za mwisho hizi.Maana hata hapo awali walikuwa wanaenda kwa waganga walikuwa wanachanganya maji ya kupikia chakula na damu ya kwanza ya hedhi ndio maana mm niliacha kula kwa mama ntilie bora hayo mafuta yanakuwa hayana madhara sana ukilinganisha na damu ya hedhi.🤔
Ukiwakwepa hao mama ntilie unakutana na ndumba za mkeo kutoka kwa 'mtaalamu' ili "usichepuke" nk nk. huko kuna ingredients zake pia...
 
Back
Top Bottom