Utafiti binafsi: Vyakula vingi vya mama nitilie Dar es Salaam vinatiwa mafuta na maji ya upako

Kila goti litapigwa kukiri----- unaenda kwa mganga anakwambia nenda ukaombewe dawa hatuna
 
Hata nikiwa safarini huwa sinunui chakula kwa sababu sio tu kwamba ni uchafu bali vyakula vya safarini ni gharama sana unapelewa mgahawa msosi buku 5 hata haushibi huwa naunua bites na soda au juice hata niwe nsafiri siku 3.
Ooh sawa ni maamuzi mazuri na inasave gharama.
Kule barabara ya uchagani chakula elfu 7 na haushibi vizuri inakulazimu uongezee na soda ili kulidanganya tumbo.
 
Watanzania wengi ni wapumbavu sana, sishangai inaweza kuwa kweli, maana hata ndugu zangu wachaga watafutaji wa kila namna walienda kukanyaga mafuta ya alizeti kule moshi wakafa.
Acha kutukana ndugu zako.
 
Wtf...!?? Damu kama damu au umeamua kuzingua tuu
 
Ooh sawa ni maamuzi mazuri na inasave gharama.
Kule barabara ya uchagani chakula elfu 7 na haushibi vizuri inakulazimu uongezee na soda ili kulidanganya tumbo.
Kuna mgahawa hapo kwa Mzee wa Msoga abiria wanaopelekwa pale gari ikipaki kumi kwa mmoja ndio wananunua chakula wengi wanaishia kununua maji tu.Inasemekana ndio mgahawa ghari sana ukiwa safarini kwa njia hiyo.
 
Hayo mafuta na maji yanayoitwa upako nao ni uchawi pia na vinatolewa na waganga wa kienyeji waliojipachika majina ya viongozi wa dini.
 
Hakuna ubora hapo
 
of which is blessing kulinganisha na samaki ambao wanakaushwa na dawa za maiti au alkasusu inayo-ongezewa viagra.
 
Tuhamie kwenye migahawa ya wapemba wa kiume
 
Wametulisha vitu vya ajabu wee! Sasa wanatuponya.
Ila kusema ukweli matumbo yetu yanakutana na mengi, yangekuwa yanaongea!
 
Ukiwakwepa hao mama ntilie unakutana na ndumba za mkeo kutoka kwa 'mtaalamu' ili "usichepuke" nk nk. huko kuna ingredients zake pia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…