Utafiti binafsi: Wanawake huwa hawafurahii kufanya mapenzi kama hawako katika siku za kupata ujauzito

Utafiti binafsi: Wanawake huwa hawafurahii kufanya mapenzi kama hawako katika siku za kupata ujauzito

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Mwanamke huwa anapata hamu kwa kipindi maalum, sio kila siku, yaani yupo kama ng'ombe jike huwa Ana period maalum.
Ukikutana nae kimapenzi akiwa hayuko kwenye muda niliotaja hata upigeje hatapata utamu wowote, ingawa atakudanganya tu!

Lakini ukimkuta kwenye siku ambazo yai lake lipo tayari kurutubishwa atakuwa na hamu nyingi sana na ukimfanya atapata utamu wa kutosha.

Kama nasema uongo wanawake njoon mnipinge:
 
Siungi mkono hoja
Samahani nina swali baada ya mwanamke kujifungua muda gani akae mpaka aje kufanya tendo la ndoa? nimekuuliza hili swali kwasababu kumekuwa na kauli kwamba Mwanamke akishajifungua hamu ya kufanya mapenzi inapotea so anatakiwa akae angalau miezi 3-6 ndio hamu ya mapenzi inamjia je hili lina ukweli?
 
Mwanamke huwa anapata nyege kwa kipind maalum, sio Kila siku, yaani yupo Kama ng'ombe jike huwa Ana period maalum.
Ukikutana nae kimapenzi akiwa hayuko kwenye muda niliotaja hata upigeje hatapata utamu wowote, ingawa atakudanganya tu!

Lakin ukimkuta kwenye siku ambazo yai lake lipo tayari kurutubishwa atakuwa na nyege nyingi Sana na ukimfanya atapata utam wa kutosha.

Kama nasema uongo wanawake njoon mnipinge:
Kweli ndio maana utma unazidi mpaka wanakwambia vua condom
 
Back
Top Bottom