Kwa mwanaume ni sawa,ila kwa mwanamke huwa anakuwa na nyege kwa kipind maalum, kinyume na hicho kpnd huwa tunawaingiliaga kwa kuwalazimisha tu.
Mbona unaongea kwa uhakika hivyo? Ni kweli ila si sababu ya pekee. Kuna siku ukimkumbuka tu mzee baba unalowa down there tena chapa chapa.
Kuna mambo mengi mfano;
1. huna stress, It happens kuna zile siku mtu unakuwa stress free, 0 worries labda kazi, biashara na familia ziko perfect.
2. Una kipato chako binafsi ambacho umeridhika nacho au umeweza kucontrol kuridhika nacho. Au umepanga mipango ya kipato ambayo unajua utaikamilisha tu ni suala la muda.
3. kama unampenda mwenza wako. Unampea bila conditions. Hii haiwahusu wauzaji au wenye expectations fulani fulani.
4. Maandalizi ya kutwa nzima, for me it works more kama tumespend time kwa masaa kadhaa kabla ya tendo, labda mchana kutwa, jioni ukimpea inakuwa very easy. Mambo yanajipa yenyewe tu.
5. kama hamna migogoro baina yetu.
6. Umri; wanawake katika umri wa kuwa mature huenjoy sex kuliko wasichana wadogo, nadhani tunapokuwa wasichana wadogo tunapenda ile idea ya kuwa na mwanaume, lakini hisia bado zinakuwa hazijamature. Kwahiyo kunakuwa na mixed feelings, unaweza kuhisi unafurahia kufanya kumbe unafurahia idea ya kumfurahisha mwanaume kingono. (hiki ni kitu cha mwanamke kujichunguza sana)
7; Ufundi kutoka kiumeni. (both science and art) mfano;
a) kitu gani kiguswe na kiguswe vipi, kwa nia njema mwanaume anaweza kuamua kugusa sehemu fulani ya mwili ikaishia kuwa turn off badala ya kuleta raha.
b) mwenza anatakiwa kujua personal preferences za mwenzake, si kila kitu kinafanya kazi kwa kila mtu. Better ask
c) dirty talks; kikawaida binadamu ukimsifia na akagundua unamsifia cha ukweli hufurahia, kwenye mapenzi hii inafanya mwanamke arelax, asiwe worried kama je huyu namfurahisha au ananivumilia tu? among of things vinatufanya tusienjoy mapenzi ni ile presha ya kutaka kufahamu kama tunaridhishana au lah, hizi fikra zinatutoaga kwenye reli.
8; Ovulation, Mahitaji ya mwili automatically hubadilika katika wakati huu. Sasa kwasababu kwa wanawake wengi vigezo 7 nilivyovianisha kabla havifikiwi, basi wengi husubiri kwa hamu kipindi hiki kwa kudhani ndio kipindi pekee cha kuenjoy mapenzi.
Mwanamke akiweza kutick box kadhaa kwa vipengele hivyo juu sexual pleasure na kukojoa vitakua her daily cup of tea/coffee.