Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wiki 6 tu ndio wanaita arobaini ya mtoto lakini hiyo ni lugha ya kikubwa sio arobaini ya mtoto ila ni mke kuwa tayari kwa mume wake ila watu wazima zamani kutumia lugha ya stara wakaita arobaini mtoto anatoka tech ni mke kuwa ready.Ningependa nikuulize swali eti Mwanamke akijifungua muda gani anatakiwa akae mpaka aje kufanya tendo la ndoa? Maana kuna kauli tunasikia kwamba Mwanamke akishajifungua anatakiwa akae angalau miezi 3 mpaka 6 ndio hamu ya kufanya mapenzi inakuja je kuna ukweli wowote kwenye hili au kama sio kweli ebu tudadavulie
Kumbe unavumilia siku 40 tuu unarudi kusasambua mbususu...asante kwa taarifa tulikuwa tunapigwa na hawa wake zetuNi wiki 6 tu ndio wanaita arobaini ya mtoto lakini hiyo ni lugha ya kikubwa sio arobaini ya mtoto ila ni mke kuwa tayari kwa mume wake ila watu wazima zamani kutumia lugha ya stara wakaita arobaini mtoto anatoka tech ni mke kuwa ready.
KumbeeeeNi kweli mkuu
Wanajua sana lakini wameamua kubisha.Jarib kufafanua ili uwaelimisha wanaobisha mkuu
Inshu hapa hisia huwa zipo kila muda sema tu kipindi cha ovulation zinaongezeka ili kumchochea mwanamke ashiriki mapenzi ili abebe ujauzito.Wanajua sana lakini wameamua kubisha.
That is why kama mtu hayuko makini while having sex kwenye danger days ni rahisi kupata mimba..
Aise unakua on heat na unakua na nyege balaa balaa hakuna mfano and the sex is so sweet unlike the other days inakua sweet lakini siyo sana kulinganisha mwanamke akiwa "on heat"
Ahsante Sana mkuuWanajua sana lakini wameamua kubisha.
That is why kama mtu hayuko makini while having sex kwenye danger days ni rahisi kupata mimba..
Aise unakua on heat na unakua na nyege balaa balaa hakuna mfano and the sex is so sweet unlike the other days inakua sweet lakini siyo sana kulinganisha mwanamke akiwa "on heat"
Hujafafanua vzr mkuuInshu hapa hisia huwa zipo kila muda sema tu kipindi cha ovulation zinaongezeka ili kumchochea mwanamke ashiriki mapenzi ili abebe ujauzito.
Sio kwamba other days mwanamke hapati hisia za kimapenzi.
Ukiangalia zaidi hapa inakuja ile dhana ya sex ni kwajili ya kuzaana tu sema wanadamu tumei overrate.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia Tena kuchunguzaNasisitiza kama mwanaume mbobezi hawezi igiziwa.
Mwanamke akikunwa palepale hujionyesha.
Na utambue kila mwanamke ana vionjo vyake na mlio wake katika kuonyesha kufurahia tendo.
Ila kama hujui mapenzi anaweza kukuigizia.