Ningependa nikuulize swali eti Mwanamke akijifungua muda gani anatakiwa akae mpaka aje kufanya tendo la ndoa? Maana kuna kauli tunasikia kwamba Mwanamke akishajifungua anatakiwa akae angalau miezi 3 mpaka 6 ndio hamu ya kufanya mapenzi inakuja je kuna ukweli wowote kwenye hili au kama sio kweli ebu tudadavulieNdivyo ilivyo kwangu Mimi binafsi