Utafiti binafsi: Wanawake huwa hawafurahii kufanya mapenzi kama hawako katika siku za kupata ujauzito

Utafiti binafsi: Wanawake huwa hawafurahii kufanya mapenzi kama hawako katika siku za kupata ujauzito

Ndivyo ilivyo kwangu Mimi binafsi
Ningependa nikuulize swali eti Mwanamke akijifungua muda gani anatakiwa akae mpaka aje kufanya tendo la ndoa? Maana kuna kauli tunasikia kwamba Mwanamke akishajifungua anatakiwa akae angalau miezi 3 mpaka 6 ndio hamu ya kufanya mapenzi inakuja je kuna ukweli wowote kwenye hili au kama sio kweli ebu tudadavulie
 
Samahani nina swali baada ya mwanamke kujifungua muda gani akae mpaka aje kufanya tendo la ndoa? nimekuuliza hili swali kwasababu kumekuwa na kauli kwamba Mwanamke akishajifungua hamu ya kufanya mapenzi inapotea so anatakiwa akae angalau miezi 3-6 ndio hamu ya mapenzi inamjia je hili lina ukweli?
Ni kweli mwanamke akitoka kujifungua hamu hupotea, zile purukushani za uzazi jumlisha hormones zimevurugika huwa hamu haipo kabisa.

Wakulungwa wengine wanashauri baada ya siku 40 mechi zipigwe, wengine wanashauri miezi mitatu, wengine 6, wazee wa zamani Kwa hofu ya kubeba mimba nyingine walishauri Hadi mtoto atembee....

Ushauri wangu ni wenza wenyewe kujadiliana lini warudi pitch...Kama 40 imeisha, vidonda vimepona ni kujadili tu lini ligi ianze 😂
 
Asante kwa maelezo mazuri ulionipa
 
😂😂😂😂😂😂 Urongo mtupu
Mbna mnapenda Sana kupnga ukwel jaman?? Kweli wew huonag utofaut wa kupata utam wa ngono ukiwa sku za kupata mimba na za kawaida ?? Heb sema ukweli
 
Back
Top Bottom