UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Wakristo kweli hawana akili wala hoja wadai kuwa yesu ni mungu, vilevile aliuawa msalabani baada ya siku3 aalifufuka ukiwauliza je dunia ilbaki na nan? Muda huo wa siku tatu kama sio ujinga ni kitu gani? Dini gani sio kuwa na hoja.wala mashiko
 
hahaha,najua lakini ndilo lengo langu,nataka niwakeep busy wasiende thread zingine .infact niko tayari kwenda nao hata week non stop.

Mkuu wacha waziongeze tu! Kila wakiandika utumbo hapa ndio wananchi wenye kufahamu watawajua zaidi na hii mifumo kristo yao!
Huyu jamaa waparokia wamempa support bila hata kukagua data zake!
Haya ndio matatizo ya mafundisho wanayopewa huku kwenye mahekalu yao!
Manake huko hawapewi ruhusa ya kuuliza maswali.
Na akithubutu kuuliza swali anaambiwa ana pepo mchafu! Ashindwe kwa jiiiiina la yesu!
 
hajakamilisha wapi bana..alikua anahofia nini?maana kila kitu kikienda according to plan after all si ni mtoto wa mungu alikua anagwaya nini?

Je ni kweli alikua masiha wa wayahudi au alikua impostor?
Kwanini wayahudi hadi leo bado wanamsubiri masiha,kwanini hawamtambui yesu?
 

:thumbup:😀
 
hahaha,tatizo lako unaongea sana..husomi kwa makini link ninazokupa.PETER siyo mwanafunzi aliependwa na yesu,kama unakataa sema nikuonyeshe kuwa petero hakuwa yule mwanafunzi mpendwa wa yesu.

Petero sio eh..So nini unataka achieve hapa..?
 
Nimegundua mjadala wa udini una mashabiki sana, lakini nina hamu pia ya kujua kama ushabiki huu unatokana na wingi wa wenye hoja hizi au ni wepesi wao wa kuzitoa? Pengine ni wachache lakini wana fursa ya kusema mara nyingi hadi linaonekana kama suala la wengi? Maana nikitazama mtaani kwangu ninakoishi sioni mfarakano huu. Nina marafiki waislamu wanaokiri madhaifu fulanifulani yaliyopo katika imani yao. Hata mimi hujadiliana nao yale mambo ya imani yangu ambayo huwa nasema "ningekuwa na uwezo ningebadili hili na lile". Tunajadili halafu inaisha tu, mazungumzo tu ya kawaida, maisha yanaendelea. Mfumo kristo sijauona mtaani kwetu wala mfumo islamu. Majuzi nilikuwa na send off ya mdogo wangu, tulikuwa na wanakamati waislamu na wakristo, na wote waliwezesha kupatikana vilivyotumika kwenye sherehe, ikiwamo bia. Hatukuweka kitimoto. Mbuzi wa ndafu alichinjwa na mwislamu. Tukala, tukanywa na kuserebuka sana. Sikuona mfumo kitukitu gani sijui nini! Nasema mjadala huu ni muflisi, hautusaidii! Bora tungejadili mfumo wa taifa; katiba mpya.
 

We umeombwa ulete andiko linalosema "wapi yesu kafundisha ukristo?
Au kasema mimi ni mkiristo??

Sio yesu kasema mimi ni kristo!

Kuna tofauti kubwa saana baina ya
Yesu KRISTO na UKRISTO!
au hufahamu tofauti zake nikufundishe??
 

Catholic wanasoma misa moja dunia nzima kwa Lugha za wazawa.....so what.
 
kwanza wananishangaza inakuaje kwenye mahubiri yao kila mtu anaanguka eti ana mapepo,tena asilimia kubwa wanawake..mtu ana malaria anaambiwa una mapepo tooka kwa jina la yesu,bacteria na mapepo wapi na wapi?.

Halafu hilo tambiko lao la kula mwili wa yest na damu yake kizungumkuti kitupu.
 
We umeombwa ulete andiko linalosema "wapi yesu kafundisha ukristo?
Au kasema mimi ni mkiristo??

Sio yesu kasema mimi ni kristo!

Kuna tofauti kubwa saana baina ya
Yesu KRISTO na UKRISTO!
au hufahamu tofauti zake nikufundishe??

Sasa unabishana nini....Kristu ndio mwl...na Ukristu ni Ufuasi wake na Wakristu ni wafuasi wake.
 
Hii kali kuliko, yani miaka yote ya kelele mlikuwa hamna utafiti wowote mpaka nilipofanya utafiti mimi ndio nanyi mnajiandaa kufanya utafiti tena unasema wazi kuwa mtachukua zaidi ya miaka kumi???

Mkuu usizidi kujiadhiri kwa kuuita huu utumbo kuwa ni utafiti!
Nimekuchambulia hapi nyuma udhaifu woote wa hizi data zako na mpaka sasa hujanijibu!
Unapotosha umma na kutaka kuupamba huo mfumo kristo ambao muanzilishi wake ameshakwenda kuzimu.
Siku nyingine unapotoa data kama hizi. Ujue tu kuwa kuna watu wamekwenda shule. Na sio wote no wagalatia humu!
Ambao hawaruhusiwi kuuliza maswali na kuchambua wanachoambiwa na wachungwaji!
We kama una hakika na hizi data! Mbona nimekuonyesha weaknesses zoote hapo nyuma. Hujajibu??
Labda ukipeleka kwenye makanisa ndio utafanikiwa kupata heko!
Hapa umegonga ukuta ndugu!
 

Ila kalamu za Wakristu hazikuchange chochote......
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…