UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Hii kali kuliko, yani miaka yote ya kelele mlikuwa hamna utafiti wowote mpaka nilipofanya utafiti mimi ndio nanyi mnajiandaa kufanya utafiti tena unasema wazi kuwa mtachukua zaidi ya miaka kumi???

Mfumo kristo hauhitaji utafiti wa aina yoyote! UKO WAZI! UMETAPAKAA KAMA SARATANI!
SIKU HIZI MPAKA KWENYE SHULE ZA CHEKECHEA UNAUONA!

NI NYIE MNAOJARIBU KUUFUNIKA MNATULETEA UTUMBO HUMU NA KUUITA ETI NI UTAFITI!
KUMBE NI UONGO NA UBUNIFU MTUPU!!
 
Kabla sijaendelea mbele, umesema utafiti huu umefanyika mwaka 2011 mbona naona kwenye ajira na uchumi umetumia data za mwaka 2012?
 
sina wakati wa kurudiarudia.
Rejea hapo nyuma nimeonyesha na kuchambua data zoote alizozionyesha huyo mgalatia, anaejiita rastafari!

Kama huwezi kurejea, wachana na mimi!

Zilete hapa we maamuma mbona unataka kujilipua?
Nyie kila kiti kinachoandikwa mna tabia ya kubeba nzima! Kama mnavyobeba andiko lililo chakachuliwa!

Kila kitu ndio nini wee maamuma?
Unaambiwa mungu watatu kwa mmoja!
Hata huulizi!!? Unabeba tu!

Kama vile wewe ulivyo Mbokelo ,wakati huo huo ni kahtaan pia ni mwanaume,pia ni baba, lakini zaidi nimwana wa baba yako

Hujiulizi haya yote mbona ni yako wewe?
Unaambiwa mungu wako alipigwa na viumbe wake mpaka akafa! Unabeba tu!?

Tatizo ni nini hapa?
Bora hata mimi,wewe hujiulizi ni mungu gani unamuabudu ambae atachomwa moto kama wewe

Bukhari :: Book 6 :: Volume 60 :: Hadith 371

Narrated Anas:

The Prophet said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'

Unaambiwa yesu alikuja kw wanakondoo wa nyumba ya israel! Na wewe msukuma pia unaambiwa ni muisraeli kiroho!! Na wewe umabeba tu!!? Na unawaambia wanao pia kuwa "nyie sio wasukuma" nyie ni waisraeli!! Na wao maskini wanabeba tu!

Sisi ni tofauti kabisa na nyie!

Hujui unachokiongea wewe maamuma,pata elimu hapa:Marko 16:15
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumb
 
Last edited by a moderator:
halafu wanakuja kifua mbele kwa majigambo,sisi wasomi bana,phew...kama ndo usomi wenyewe wa kutoa data ambazo haziendani kabisa kumbe swaga tu.

Mtu mwenyewe nasikia fundi lipu.

Teh teh teh! Mkuu usiwashangae hao!
Zile ruzuku za kanisa zinawadhuru!
Si unawaona hata wale wahubiri kwenye tv!!
Kwanza walianza kama hawa!
Leo wanajiita MITUME NA MANABII!
teh teh teh teh!
Na yule muasisi wa MFUMO KRISTO! Japokuwa kaisha tangulia kuzimu. Wao wanataka kumpa cheo cha MTAKATIFU!
sasa si unafiki huo! Wakati yuko hai hawakufanya hivyo! Kafa ndio ohh baba yetu! Ohhh mwana wa pekee!! Ohhh mtakatifu!
Haya mambo ya kunywa damu balaa haya!!
 
Mfumo kristo hauhitaji utafiti wa aina yoyote! UKO WAZI! UMETAPAKAA KAMA SARATANI!
SIKU HIZI MPAKA KWENYE SHULE ZA CHEKECHEA UNAUONA!

NI NYIE MNAOJARIBU KUUFUNIKA MNATULETEA UTUMBO HUMU NA KUUITA ETI NI UTAFITI!
KUMBE NI UONGO NA UBUNIFU MTUPU!!

Mwenyewe unadhani umeshaconvince watu kuwa upo km kichwa yako inavyo imagine...

Unachokiona ni christian Values ambazo ndizo unazozifaidi na kukuba kila kitu kuanzia technologia na vitu vingine.
 
Wakristo kweli hawana akili wala hoja wadai kuwa yesu ni mungu, vilevile aliuawa msalabani baada ya siku3 aalifufuka ukiwauliza je dunia ilbaki na nan? Muda huo wa siku tatu kama sio ujinga ni kitu gani? Dini gani sio kuwa na hoja.wala mashiko

Vilaza ni wengi sana JF!
 
Sasa unabishana nini....Kristu ndio mwl...na Ukristu ni Ufuasi wake na Wakristu ni wafuasi wake.
haileti maana kabisa..kristo maana yaje mpakwa mafuta,sasa dini inaitwa wapakwa mafuta,WHAT FOR?

What is mafuta in relation to salvation?
 
Zilete hapa we maamuma mbona unataka kujilipua?

Hujui unachokiongea wewe maamuma,pata elimu hapa:Marko 16:15
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumb

Sasa hebu soma hilo andiko!
Waliambiwa wakafundishe INJILI!

WAPI YESU KAWAAMBIA WAKAFUNDISHE UKRISTO??

AU UNAMAANA KILA ANAEFUNDISHA INJILI NI MKRISTO?

kama ni hivyo unatakiwa utoe andiko. Sio kuja hapa na methali!
NYIE mnasherekea sijui krismas sijui nini!

Ili tuone uhusiano wenu na wanafunzi wa yesu!
Hebu nionyeshe wapi ktk andiko WATU WA INJILI WALISHEHEREKEA KRISMAS?

au chochote kile!!
AU WAPI YESU ALISWALI KANISANI??

Nadhani hapo ndio utajua kuw wewe na wanafunzi wa yesu ni tofauti kubwa sana.
 
Utafiti unachukua muda mrefu kwa hiyo tuwe wavumilivu na kuwapa nafasi na upande mwingine waje na matokeo ya utafiti wao, ila ninachojiuliza malalamiko yao yalitokana na utafiti upi? ilikuwa ni rahisi kwao ku-copy na ku-paste tu

Walikua wapi siku zote hizo?
 
Naombeni kuuliza hivi Mungu Yesu alipopigwa mpaka akafa msalabani alimuachia dunia nani.
 
haileti maana kabisa..kristo maana yaje mpakwa mafuta,sasa dini inaitwa wapakwa mafuta,WHAT FOR?

What is mafuta in relation to salvation?

Hapo ndipo shida....ilipo kitu usichokijua ni bora ungeomba kufundushwa.Kelele zote hizi sasa unauliza ujinga.

Mpakwa mafuta ni Mtu aliyepitishwa......ni kuhani mkuu alitawadhwa.....ndipo tofauti ya kujisalimisha na kupakwa mafutwa....
 
msipoteze muda kushindana na hawa watu wa mwamedi. anayetaka kumfahamu Kristo na awe Mkristo.
 
Kwi,kwi,kwi,kwiiiiiiiiiii
Tayari mtu atalipuliwa soon

Hizi hasira za ki-mwamedi zitawamaliza nyie maamuma!!!!!!!

We jitekenye ucheke mwenyewe!
Mkishachemka basi silaha mlizo bakiza ni kukashifu na kuita wasomi magaidi!
We jibu hoja!

Hapa hakuna atakae kulipua kwa bom!
Hapa unapewa data mpaka unajiuliza kwanini ulichagua ugalatia kuwa ndio muongozo wako!

Mambo ya ohh mabomu ohh magaidi ohhh mashetani!
Hayo yawache kwenye tv! Hapa ni hoja juu ya hoja! Baaaaas!
Sasa endelea na utumbo wako! Unapoteza muda na kujiadhiri zaidi tu!
 
Hapo ndipo shida....ilipo kitu usichokijua ni bora ungeomba kufundushwa.Kelele zote hizi sasa unauliza ujinga.

Mpakwa mafuta ni Mtu aliyepitishwa......ni kuhani mkuu alitawadhwa.....ndipo tofauti ya kujisalimisha na kupakwa mafutwa....
mchungaji, naomba unisaidie vile visanamu vya bikra maria huwa watu wanavipigia magoti kuviomba msaada nani anavitengeneza?
 
Zilete hapa we maamuma mbona unataka kujilipua?

Kila kitu ndio nini wee maamuma?

Kama vile wewe ulivyo Mbokelo ,wakati huo huo ni kahtaan pia ni mwanaume,pia ni baba, lakini zaidi nimwana wa baba yako

Hujiulizi haya yote mbona ni yako wewe?

Tatizo ni nini hapa?
Bora hata mimi,wewe hujiulizi ni mungu gani unamuabudu ambae atachomwa moto kama wewe

Bukhari :: Book 6 :: Volume 60 :: Hadith 371

Narrated Anas:

The Prophet said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'

Hujui unachokiongea wewe maamuma,pata elimu hapa:Marko 16:15
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumb
yesu alisema,hakutumwa ila kwa wana wa israel,na alisema si vyema kukitwaa chakula cha watoto na kumpa mbwa.

Hiyo enendeni kwa mataifa yote ni nyongeza ya baadae.
Baada ya wayahudi kumkataa yesu ndo mwishomwishoni akawageukia mataifa.
Kumbuka yesu alikataliwa na hata pald nazerati walimfukuza wenyeji akaenda galilaya.
 
Last edited by a moderator:
Kwani Mungu aliyetoa NENO hakuwepo?

Atoae neno kafa! Sasa jibu swali!
Alimwachia nani dunia kwa siku alizokufa??
Au aliseti kila kiti kwa kujua kuwa atakufa!
Kama vile wanavyoseti automatic systems!
Teh teh teh teh!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom