kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Hii kali kuliko, yani miaka yote ya kelele mlikuwa hamna utafiti wowote mpaka nilipofanya utafiti mimi ndio nanyi mnajiandaa kufanya utafiti tena unasema wazi kuwa mtachukua zaidi ya miaka kumi???
Mfumo kristo hauhitaji utafiti wa aina yoyote! UKO WAZI! UMETAPAKAA KAMA SARATANI!
SIKU HIZI MPAKA KWENYE SHULE ZA CHEKECHEA UNAUONA!
NI NYIE MNAOJARIBU KUUFUNIKA MNATULETEA UTUMBO HUMU NA KUUITA ETI NI UTAFITI!
KUMBE NI UONGO NA UBUNIFU MTUPU!!