chamtemamoto
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 796
- 215
Majibu mazuriNinaiquote pale ninapothibitisha uongo wenu au uongo wa Quran yenyewe
Hapo niliposema kuwa kwenye Quran kuna watu wanoitwa people of the book nilikuwa namwambia huyo mfuasi mwenzako wa mwamedi kutokana na madai yake kuwa Warumi ndio walianzasha ukristo
Mimi sio kama nyie ambao mnaiquote biblia pale mnapotaka ushahidi kuwa inasema kweli lakini pale inapowaruka mnadai eti imechakachuliwa!
nilikua naongelea kabla hajafa ,kuna mahali nilisoma mary magdalena ndie aliempaka mafuta,ntaitafuta ili kuona kama niko sawa.
Lakini kumbe kupakwa mafuta haikua bigdeal kihivyo,ni kama vile ilikua ni desturi yao kuwapaka mafuta watu wenye mamlaka.
Mfano king david alikua na hadhi kweli ya kupakwa mafuta na bwana.
King david alikua mzinzi,alimua ur ili aweze kujitwalia mke wake.
-Unakichaa wewe..hakuna kitu unaweza andika sahihi....0.15 kg/tonn/gm au?
-kwani viroba vinapunguza uzito au vinaongeza?Viroba havina uzito..?Hizi ni hesabu za mwaka wa tembo , wa mbwa au wa ngamia....?Angalia usijikute unatukana uislam zaidi ukidhani unanitukana mimi?
Haha..hata hesabu ya urithi ktk Uislam ni wendawazimu kabisa...km elimu ya mangaribi haikuwepo....sijui km kaenda ya kiislam ingekuwepo tena,majina ya mwaka kubase ktk wanyama...sijui mwaka wa Tembo, ngamia etc mngekuwa mmemaliza wanyama wote wa saudi Arabia na miezi kutumia majina, mngejuwa mmemalizia miezi ya shaaban, ramadhani, na wengine wangedai miezi yao.
Hivi ni kweli utafiti huo umefanywa November 28, 2013?,
Leo September 16, 2013
since you beliave someone died for your sin.it makes sense that all of your sin the one you have committedand the one you will commit have already been forgiven.so it is done,you have free ticket to heaven.Elungata unajua shida ya waislam ni kwamba hawana akili ....na hata Arabs wengi tuu wanasema wazi kuwa Arabs wana akili ndogo sana...ila wana ujasiri sana...Huw ampo desperate sana kuchukua vitu vinavyopinga Ukristu....hata kama vinapinga na uislam wenyewe...mojawapo nikakupa mfano wa Theory of Evolution...ulicho copy hujaweza think otherwise..ndio maana umejaribu sana kukufuru illi kutafuta kashfa kwa Kristu..ndio maana dhambi aliyosema Yesu haisameheki...ya kumkufuru Roho Mtakatifu...Muslims do it day and night......yule mwandishi alikuwa akitaka onyesha kuwa hakuwa amevaa zaidi ya nguo aliyofufuka nayo.....na kuonyesha kuwa haikuchukua muda tangu kufufuka na kurudi kwa Yesu....Linen ndio kitambaa kilichotumika kumzika..Pengine hakupata nguo nyingine kwa vile watu walikuwa akiogopa kuwa ni mzimu.
kwani hata angesamehe kwa mtoto aliyejiuza ingesaidia nini?nimekujibu sana hii concept il akw avile unakimbilia weka ma vitu ya kunakili ktk internet mnayotumia dunia nzima hukuweza notice..Haya ndio.matatizo ya akili.kuambiwa!!
We unaenda kwenye parokia kwa nia ya kuabudu!
Halafu unaambiwa fungua wakolosai 4!
Unafungua..!
Unaambiwa haya soma..!
Unasoma kuwa na bwana mungu akamtoa mwana wake wa peke, ili kulipa deni la dhambi!..!na kwa kafara hio viumbe woote wakasamehewa..!
Unaambiwa funga kitabu tuombe!!
Unafunga..
Halafu mnafunga macho. Mnachangishwa hela..!
Mnaambiwa haya mbarikiwe. Mnarudi nyumbani mkijisifu kuwa ..Duh ibada ya leo kiboko!
YAANI HATA KUJIULIZA ,
JE! HUYU MUNGU ALIKUWA HANA UWEZO WA KUSAMEHE DHAMBI BILA KUMUUA MWANAE?
KAMA KWELI HUYU NDIE YULE MUNGU ALIYEUMBA KILA KITU NA MWENYE MADARAKA YOTE. KWA NINI ASIMWAMBIE MWANAE KUWA BASI MIMI KWA NGUVU ZANGU NA UWEZO WANGU NAWASAMEHE WEWE NA WATU WOTE NA HAKUNA ATAKAE KUFA LEO!!
NA JE! KAMA KWELI WEWE UMESAMEHEWA DHAMBI ZOTE. YA NINI KWENDA KANISANI KILA MARA. TENA UNAKWENDA KUOMBA MSAMAHA??
Tatizo ni kuwa nyie mkiuliza mnaambiwa mna MAPEPO!
SASA MTABAKI AKILI KUAMBIWA MPAKA MWISHO WA DUNIA!
Maskini nawaonea huruma sana!!🙁🙁
kwani hata angesamehe kwa mtoto aliyejiuza ingesaidia nini?nimekujibu sana hii concept il akw avile unakimbilia weka ma vitu ya kunakili ktk internet mnayotumia dunia nzima hukuweza notice..
Wewe mwanao akijiuza na kusaidi mkataba kufanya kazi za kitumwa baada ya kukukimbia na kukukataa..baadaye akajikuta mahali hawezi toka tena..msamaha wao hauwezo tisha mtoa ..msamaha wako utakuwa mwanzo wa wewe kuanza jituma kumfuata kulipa kila deni ili awe huru..
Msamaha wa Mungu haukutosha kumto akumtoa mikoni mwa shetani..ila kumfanya Mungu sasa awe na nia ya kumlipia deni....siku moja msamehe mdogo wako baada ya kula restaurant, halfu utegemee atatoka km hutolipa....halfu hutegemee atatoka.Otherwise uwe haramia na kumtoa kibabe huku mwenye restaurant abaki akiwadai..sasa imagine Mugu adaiwe na Shetani atakuw ana nguvu ya kumhukumu tena?Kwa uislam na ubabe wake ,umewafany amkadhani kw avile mungu basi atoke bila lipa deni la shetani..Hiyo kwenu ni haki.
Ndio maana huwa hamna aibu kudai visivyo haki ktk nchi ,sasa Yericko anawa corner km Wakrostu walivyoanza kataa nyie kuchinja...fasta mkaanza ua kwa vile mlijua hali itakua ngumu sana kupata makafara....
Goverment of Tanzania pay all the running cost at KCMC.
Kilimanjaro Christian Medical Centre
Mbona unakurupuka nani kakuuliza habari za OIC na Vatican?
Mimi sipo huko.
Tukifika uko takuambia.
HOW DID JUDA DIE?.haha...alichofanya Yuda ni kugeuza jambo kuwa dili na kuliuza kabla wahusika hawajakinywa kikombe chao.
Yericko Nyerere anaonekana ameanzisha uzi huu kwa nia nzuri, kwa fact nzuri, na kwa namna bora kabisa. Katika bango lake; hakuna mahali alipoidhalilisha wala kuichafua wala kuwatukana watu wa dini yeyote. Hata hivyo kwa jinsi mjadala unavyoendelea, naona kuna watu washaubadilisha na kuufanya ni wakuchafuliana dini na kutukanana na kwa kiasi unaanza kupoteza muelekeo. Sioni kama ipo sababu ya mtu Kumchafua Mtume katika uzi huu, sioni kama ipo sababu ya mtu kumchafua yesu katika uzi huu, sioni kama ipo sababu ya kuwachafua waislam au wakristo katika uzi huu.Wakati fulani tujaribuni kutumia busara za kawaida tu.Ambao mnachafuana humu mnajijua.Ni bora mkiacha. Hakuna mtu anayefurahishwa na mnachokifanya humu hata mmoja.Ni bora mkatoa michango yenu kistaarabu kama uzi wenyewe ulivyo.
the government pay all the running cost not germany,that is very clear.Runnig Cost nadhani wamongeza ujenzi hata wa ward moja...yaani mtu aje toa msosi ktk nyumba yangu ili apate hifadhi halafu wategemezi wake waje juu. Kuwa huyo mtu ndio kaniwekea mali zangu....
sishangai akli zenu....km mmeweza sema Yesu alikuwa muislam, yaani naye anafuga majinn, yaani naye alikwenda Mecca na majinn ya waislam wengine yakavumilia..............?IPO BIG KAZI
-Unakichaa wewe..hakuna kitu unaweza andika sahihi....0.15 kg/tonn/gm au?
-kwani viroba vinapunguza uzito au vinaongeza?Viroba havina uzito..?Hizi ni hesabu za mwaka wa tembo , wa mbwa au wa ngamia....?Angalia usijikute unatukana uislam zaidi ukidhani unanitukana mimi?
Haha..hata hesabu ya urithi ktk Uislam ni wendawazimu kabisa...km elimu ya mangaribi haikuwepo....sijui km kaenda ya kiislam ingekuwepo tena,majina ya mwaka kubase ktk wanyama...sijui mwaka wa Tembo, ngamia etc mngekuwa mmemaliza wanyama wote wa saudi Arabia na miezi kutumia majina, mngejuwa mmemalizia miezi ya shaaban, ramadhani, na wengine wangedai miezi yao.
Yesu Kristo alitambua kuna watu watakuwa wabishi na wasioamini katika Kristo. Yeye alikufa msalabani na kuwaokoa wale waliomwamini Kristo kama Masiha. Kwa hiyo waliomwamini, waliokolewa, na ndiyo walio watakatifu na wamekiti kwa Baba; wakituombea mimi, wewe na yule.
Ili uweze kuwa mfuasi wa Kristo na mwamini wake sasa unapaswa utubu dhambi zako na kumkiri Yeye kuwa ndiye Kristo aliye NJIA, UKWELI na UZIMA. Hayo yanafanyika kwa njia za sala, toba na kufunga.
Mimi naomba nikuulize swali moja hivi Tanzania ikijiunga na OIC nini athari utakaoipata
wewe rastafari nyuma ya pazia la ukristo au ni chuki tu zimejaa mioyono mwenu?
Nadhani dizaini hii ya malumbano ambayo mmeanza kuyafanya; mwishowe mtaanza kutukanana na mwishowe mtakula ban! au uzi utafungiwa. Ni bora tukajikita kwenye mantiki ya uzi wenyewe.Wakati fulani ukiona mtu anakupeleka kwenye sehemu itakayoleta shida; usikubali kwenda.
Tatizo ni elimu yako mangi!!
Mkuu Ritz amekwambia binaadamu ana ubongo ambao uzito wake una average ya 1400 g! Akasema wewe una 0.5!
Halafu unauliza kg au ton!
Teh teh teh teh! Umeshaona hapo nyuma kaandika 1400g halafu unauliza tena!!
Halafu we hujiulizi! Kama wewe ungekuwa na hata 0.5 kg ya ubongo!
We unadhani tungekuwa tunabishana na wewe hapa!
Teh teh teh teh! Unajua nyie wachaga wa kigalatia viti moto mmezidisha sana pale kiboriloni!
Na hivi viti moto vinaathiri sana upeo wa kufikiri kweli mangi!
Wewe unafundishwa na imani yako kuwa. Mungu ni muweza wa mambo yote!
Na hupanga mambo yote kabla hayajatokea sio?!
Sasa nikuulize! Kwa mifano yako dhaifu hapo juu. UNAMAANA MUNGU ALIPANGA KUPIGWA MIJELEDI NA KUFA KWENYE MSALABA??
Hebu jibu hapa sasa!