UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
.......katika Qur'an kuna surat Maryam, inamzungumzia Yesu na Mama yake, pia kuna surat Banii Israeli.......inazungumzia Wayahudi (hiyo ni Injil)

Kuna kisa cha Musa na nduguye Haruun (tokea wanapewa Unabii) hiyo ni Tourat !

Kuna Daudi na Jalut (goliath) hiyo ni Zaburi !

Khaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!

Kuna injil ndani ya quran?
Kuna taurati ndani ya quran?
Kuna zaburi ndani ya quran?
Na quran iko wapi?
Au iko ndani ya ihjil?

Wewe hujui unachikizungumza!

Unajua maana ya kitabu?



Hata huvyi nikiamua kukubaliana na wewe kichizi
Unajua kama unajifunga mwenyewe?
Unajua kuwa unathibitisha kuwa mungu wako ni mwongo kwa kukiita kitabu hicho quran kama kina yote hayo uliyodai?
Unajua maana ya biblia wewe?
Kwa majibu yako haya hujui kuwa unaifanya quran kuwa biblia?[Mungu aepushe mbali hii laana]
Sidhani kama unataka quran iitwe biblia[Mungu epusha mbali hii]
 
Hayo makanisa huko znz yalianzishwa na JMT?think out of the box!Fanya tafiti yako then mwaga hapa,Huo muungano wa mkataba ukoje bora usiwepo kabisa,kila mtu ale 50 zake
Hakuna makanisa Zanzibar ispokuwa kuna mahekalu ambayo kila siku ni matupu yaliokosa waumini lakini vibanda vya nyasi vinavyoitwa kanisa ndiyo viko kama uyoga SIKUHIZI kutokana MFUMO Kristo. Amka Ukiristo ulianza Zanzibar kabla ya Tanganyika ndipo hayo mahekalu yalipojengwa lakini ULISHINDWA NA KUSHHINDWA ndio unataka kuletwa sasa kwa kivuli cha JMT
 
Haha....tonatofautiana san ktk analysis a vitu....wafalme wa uarabuni wana hela nyingi sana za kufuru ila at the end of the day wamezungukwa na masikini wa kufa mtu......Umewahi jiuliza akina manji, karamagi, hata Bakheresa contribution yao ktk jamii si tuu ya watanzania au hata ya kiislam na kodi ktk uchumi wa nchi?NImekuuliza muulize bakhresa km angewauzia waislam pekee (wauza chapati) na maandazi angeuza chapati ngapi...?



Hiyo kuosha glass na JIK ni kuonyesha ujinga wako kiakili...JIK si salama kwa afya km wewe unadhani unasafisha something is wrong in your head and mindset.

Ukristu si dini wala hautokuwa dini .Ukristu ni "Neno ", Ukristu ni "Habari Njema" habari haiwezi kuwa utamaduni....NI HABARI YA UKOMBOZI.....UISLAMA NI HABARI YA KUJISALIMISHA.....WANAJISALIMISHA WALIOSHINDWA KTK VITA....NA BAADA YA KUJISALIMISHA WANASUBIRI HURUMA YA ADUI AU MHUKUMU WAO....UKRISTU NI UMASIHI..MASIHI NI MPAKWA MAFUTA..MPAKWA MAFUTA NI MTU ALIYEKWISHA APISHWA NA KUPEWA MILKI....so shetani aliyekufundisha kwa kupindisha maneno hajakosea sana..ila hakumalizia kwanini ukristu si dini..alijua ubongo wako hautoshi kung`amu mengi.....

Yesu ahatofunga foleni na mohamed ktk hukumu......YESU ni Neno la Mungu alilottumw amalaika kwa Maria, Neno La Mungu linaumba,Neno La Mungu linaishi ,Yesu aliumba alifufua, aliponya kwa vile yeye ni uhai wenyewe...na hakutaka dini kwa vile dini ni utamaduni wa watu duni wanahitaji teseka sana wakimtafuta Mungu..Wakristu Mungu aliwajia...


"Kasome Quran vyema uone Nguvu ya Neno la Mungu ....Nakumbusha "NENO-THE WORD"" Mungu hana meneno ...Mungu ni Mmoja Neno lake ni Moja...Neno Lake Lina Nguvu ya Mungu....Yesu Ni Roho Ya Mungu...Roho ya Mungu ni Mungu ..Kwani ina Nguvu za Mungu......Nadhani Baada ya hapo utajifunza kwanini Islam will never be as powerful as Christianity.....Injil itabaki kuwa na Nguvu sana na Itajilinda yenyewe mbele ya Mataifa bila vita.

Uislam hauna hata nguvu ya kukimbiza majinn achilia mbali "kuliishi Neno la Mungu"..kamuulize shekhe wako km kuna muislam anayeweza kimbiza Jinn....only kuwatuliza.

Ama kweli kiziwi kipofu ni jamii ya kuonewa huruma, Akili yako yakiwehu haiweleweki. Eti ansema Uislam hauna hata nguvu ya kukimbiza majinn ..kamuulize shekhe wako km kuna muislam anayeweza kimbiza Jinn. HIVI WEW UMESIKIA MUISLAMU ANSALI MSIKITINI AKAWESEKA NA KUPANDISHA PEPO? TABIA HIYOSI MNAYO NYIE WEHU MAPDRE WENU WAKIGOMBANIA UPADRE WANA KWENDA KWA SEIKH KUOMBEWA TUMESOMA MARA KADHAA KWENYE MAGAZETI WEW ENDELEA KULALATU YESU SI MUNGU BABA YAKE HALALI ALIELALA NA MARIA NI JOSEPH THE CARPENTER NA AMEZAA NAE WATOTO WENGINE AMKA ACHANA NA DINI YA MSITUNI
 
haha ukichukulia kijujuu km hivi utajikuta ukimwita hata mtu aliyebanjua demu mwenye virus huku akijua waziwazi nin kinamkuta...seems than huonekani kuona kutoa mganga ni wasahili wali misuse..yaani suicide na sacrifice.......suicide karibu zote ni motivated by hate, na desires za kwenda pat amabicra 72+wanaume warembo, wine ziktiririka ktk mito....nyie mnaita people sisi tunaita danguro..a.k.a hell.
tofautisha suicide na suicide mission.

Haya na jesus tunamweka wapi?suicide au sacrifice?
 
Khaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!

Kuna injil ndani ya quran?
Kuna taurati ndani ya quran?
Kuna zaburi ndani ya quran?
Na quran iko wapi?
Au iko ndani ya ihjil?

Wewe hujui unachikizungumza!

Unajua maana ya kitabu?



Hata huvyi nikiamua kukubaliana na wewe kichizi
Unajua kama unajifunga mwenyewe?
Unajua kuwa unathibitisha kuwa mungu wako ni mwongo kwa kukiita kitabu hicho quran kama kina yote hayo uliyodai?
Unajua maana ya biblia wewe?
Kwa majibu yako haya hujui kuwa unaifanya quran kuwa biblia?[Mungu aepushe mbali hii laana]
Sidhani kama unataka quran iitwe biblia[Mungu epusha mbali hii]
yesu mwenyewe haijui bibilia na ameondoka hapa kukiwa hamna bibilia,yesu alitumia maandiko tofauti kuhubiria na sio bibilia.bibilia ni kitabu wameandika akina marco,luka ,paul ambao hawakupata hata kuwa wanafunzi wa yesu.bibilia sio maneno ya mungu ni mkusanyiko wa matukio yaliyoandikwa na kikundi cha watu na wala hayana uhusiano na maneno ya mungu.
 
yesu mwenyewe haijui bibilia na ameondoka hapa kukiwa hamna bibilia,yesu alitumia maandiko tofauti kuhubiria na sio bibilia.

Alitumia maandiko gani?

bibilia ni kitabu

Acha uongo wewe
Unajua maana ya Biblia wewe?

wameandika akina marco,luka ,paul ambao hawakupata hata kuwa wanafunzi wa yesu
.

Hawa ndio wameandika Biblia?????????????
Hivi wewe unaijuia biblia kweli?

bibilia sio maneno ya mungu

Unajua Biblia ni nini?

ni mkusanyiko wa matukio yaliyoandikwa na kikundi cha watu na wala hayana uhusiano na maneno ya mungu.


Hayana uhusiano na maneno ya Mungu gani?
Yupi?
Wa wapi?
Anaitwa nani?
 
HIVI WEW UMESIKIA MUISLAMU ANSALI MSIKITINI AKAWESEKA NA KUPANDISHA PEPO? TABIA HIYOSI MNAYO NYIE

Nitakupa mfano mdogo tu:

Mwnao akijisaidia kwenye nguo halafu kile kinyesi ukikipeleka sebuleni kwako kitakawa kipo mahala pake?
Je ukikipeleka chooni je,itakuwa nimahala pake?

Ni wapi kati ya maeneo hayo mawili kinyesi hakitakuwa kero na kitatoa harufu?
 
Daaaah religious people wameharibu kabisa msingi mkuu wa uzi huu
 
Nitakupa mfano mdogo tu:

Mwnao akijisaidia kwenye nguo halafu kile kinyesi ukikipeleka sebuleni kwako kitakawa kipo mahala pake?
Je ukikipeleka chooni je,itakuwa nimahala pake?

Ni wapi kati ya maeneo hayo mawili kinyesi hakitakuwa kero na kitatoa harufu?
MAXI SHIMBA hivi umetoa mfano wa lulu ya kanisa?,
 
Mwasemaje sisi tuna akili,na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi?Lakini,tazama ,kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
JEREMIH 8:8
 
How can you say ,"We are wise,for we have the law of the Lord ,when actually the lying pen of the scribes has handled falsely?
Jeremiah 8:8
 
Khaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!

Kuna injil ndani ya quran?
Kuna taurati ndani ya quran?
Kuna zaburi ndani ya quran?
Na quran iko wapi?
Au iko ndani ya ihjil?

Wewe hujui unachikizungumza!

Unajua maana ya kitabu?



Hata huvyi nikiamua kukubaliana na wewe kichizi
Unajua kama unajifunga mwenyewe?
Unajua kuwa unathibitisha kuwa mungu wako ni mwongo kwa kukiita kitabu hicho quran kama kina yote hayo uliyodai?
Unajua maana ya biblia wewe?
Kwa majibu yako haya hujui kuwa unaifanya quran kuwa biblia?[Mungu aepushe mbali hii laana]
Sidhani kama unataka quran iitwe biblia[Mungu epusha mbali hii]
Katika wajinga nimeamini wewe ndio mjinga mnene injili ni mjumuko wa wa Torati na Zaburi,
na Quran ni mjumuiko wa Torati,Zaburi na Injil sasa unaposema tunataka Quran iitwe biblia
una maana gani kweli wehu hawaishi!
 
Katika wajinga nimeamini wewe ndio mjinga mnene injili ni mjumuko wa wa Torati na Zaburi,
na Quran ni mjumuiko wa Torati,Zaburi na Injil sasa unaposema tunataka Quran iitwe biblia
una maana gani kweli wehu hawaishi!

Teh teh teh teh!
Mkuu Boko haram huyo mparokia Eiyer jamaa yake kanambia vile vidonge alivyoandikiwa hajamaliza dozi bado!
Nenda nae taratibu anaweza kukuchafua bure kumbe mwenzetu ndo hivo tena ufahamu wake kwa sasa ni kama hii hesabu ya (1+3 =13)!

Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Nitakupa mfano mdogo tu:

Mwnao akijisaidia kwenye nguo halafu kile kinyesi ukikipeleka sebuleni kwako kitakawa kipo mahala pake?
Je ukikipeleka chooni je,itakuwa nimahala pake?

Ni wapi kati ya maeneo hayo mawili kinyesi hakitakuwa kero na kitatoa harufu?

Sisi watoto wetu tunawavisha nepi za pampers! Kwa hivyo suala la kujisaidia kwenye nguo halipo kabisa!

Labda nikusaidie kukujibia wewe ambae wanao wana tabia ya kunya ovyo kwenye nguo kutoka na kuwalisha vitimoto!

NADHANI ukikipeleka kanisani pale nyuma ya madhabahu harufu itabaki kwa muchungwaji! We nyumbani kwako kutakuwa shwari kabisa!

Teh teh teh teh!

Haki ya nani hii mifano mingine sijui ni bangi mbichi hii au kitimotona damu ya bwana umezidisha!?

I really don't know!
 
Alitumia maandiko gani?(SWALI LA NYONGEZA)




Acha uongo wewe
Unajua maana ya Biblia wewe?(MOJA)

.

Hawa ndio wameandika(MBILI Biblia?????????????
Hivi wewe unaijuia biblia kweli?(TATU)



Unajua Biblia ni nini?(NNE)




Hayana uhusiano na maneno ya Mungu gani?(TANO)
Yupi?(SITA)
Wa wapi?(SABA)
Anaitwa nani?(NANE)

Teh teh teh teh!

Halafu nikisema unapepo mbaya unasema nakuonea!

Umeuliza maswali TISA HAPA! na hakuna moja la maana!

Ugalatia nuksi wallahi!
 
Alitumia maandiko gani?



Acha uongo wewe
Unajua maana ya Biblia wewe?

.

Hawa ndio wameandika Biblia?????????????
Hivi wewe unaijuia biblia kweli?



Unajua Biblia ni nini?




Hayana uhusiano na maneno ya Mungu gani?
Yupi?
Wa wapi?
Anaitwa nani?
Mbona ueleweki maneno mengi tu bila maandiko.
Unajua maana ya Biblia wewe?
Tueleze maana yake nini.
Unajua Biblia ni nini?
Biblia kwani zipo ngapi? hii hapa chini nini?

[TABLE="class: vertical-navbox nowraplinks hlist, width: 22"]
[TR]
[TD]Part of a series on[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]The Bible[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Interpretation[show]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Perspectives[show]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
  • 16px-Symbol_book_class2.svg.png
    Bible book
  • Bible portal
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The Bible (from Koine Greek τὰ βιβλία, tà biblía, "the books") is a canonical collection of texts considered sacred in Judaism as well as in Christianity. The term Bible is shared between the two religions, although the contents of each of their collections of canonical texts is not the same. Different religious groups include different books within their canons, in different orders, and sometimes divide or combine books, or incorporate additional material into canonical books.
The Hebrew Bible, or Tanakh, contains twenty-four books divided into three parts: the five books of the Torah ("teaching" or "law"), the Nevi'im ("prophets"), and the Ketuvim ("writings").
Christian Bibles range from the sixty-six books of the Protestant canon to the eighty-one books of the Ethiopian Orthodox Church canon. The first part of Christian Bibles is the Old Testament, which contains, at minimum, the twenty-four books of the Hebrew Bible divided into thirty-nine books and ordered differently than the Hebrew Bible. The Catholic Church and Eastern Christian churches also hold certain deuterocanonical books and passages to be part of the Old Testament canon. The second part is the New Testament, containing twenty-seven books: the four Canonical gospels, Acts of the Apostles, twenty-one Epistles or letters, and the Book of Revelation.
By the 2nd century BCE Jewish groups had called the Bible books "holy," and Christians now commonly call the Old and New Testaments of the Christian Bible "The Holy Bible" (τὰ βιβλία τὰ ἅγια, tà biblía tà ágia) or "the Holy Scriptures" (η Αγία Γραφή, e Agía Graphḗ). Many Christians consider the whole canonical text of the Bible to be divinely inspired. The oldest surviving complete Christian Bibles are Greek manuscripts from the 4th century. The oldest Tanakh manuscript in Hebrew and Aramaic dates to the 10th century CE,[SUP][1][/SUP] but an early 4th-century Septuagint translation is found in the Codex Vaticanus.
The Bible was divided into chapters in the 13th century by Stephen Langton and into verses in the 16th century by French printer Robert Estienne[SUP][2][/SUP] and is now usually cited by book, chapter, and verse. The Bible has estimated annual sales of 25 million copies,[SUP][3][/SUP][SUP][4][/SUP] and has been a major influence on literature and history, especially in the West where it was the first mass printed book.
Ndiyo hii biblia mnayoifuta?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom