kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
anashangaza sana,mimi namwekea link za haohao wazungu anaowasifia tena anageuka kusema mimi namtusi yesu..mshenga hauawi bana.
Teh teh teh! Ndugu yangu wala usishangae kabisa! Hao mi nashughulika nao kila mara!
Hakuna mkiristo mmoja dunia leo anaelifahamu andiko lake lote!
Wana kariri tu! Na woote huwa wakishwa argument! Basi silaha yao ni kashfa na matusi!
Yaani ni balaa! Teh teh teh! Kapumzike mkuu!