UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Kule kujiingiza kwa serikali tangu enzi za mwalimu kuvunja jumuia za waislam na kuwa undia na kuwachagulia viongozi mbumbumbu kupitia Bakwata kwa lengo moja tu la kuzuia maendeleo yao .
Na kutofanya hivo kwa wakristo basi ni mfano tosha wa mfumo kuwapo ndani ya utendaji wa serikali
Hayo mengine yote yanaanzia hapo na mada yako ingegusia hili ungepata ukweli
 
Kweli nimegundua kuwa kuongea na wafu ni kazi ngumu, maana marehemu huwa awasikii wala awaoni wala hawajibu wala hawaelewi!.
marehemu elifu kumi hawawezi kumjibu aliyehai mmoja.
Mkuu Nicholas naona umetumwa kama kondoo kati ya mbwa mwitu,Nakupongeza kwa kuwa hukuwapa mbwa kilicho kitakatifu wala ujatupa lulu zako mbele ya nguruwe.
HUBARIKIWE
 
Ni mada nzuri. Lakini sitaki niamini kuwa mtafiti unaweza kuhoji watu laki tatu kujua imani zao. Inawezekana pengine sijakuelewa.
 
Kule kujiingiza kwa serikali tangu enzi za mwalimu kuvunja jumuia za waislam na kuwa undia na kuwachagulia viongozi mbumbumbu kupitia Bakwata kwa lengo moja tu la kuzuia maendeleo yao .
Na kutofanya hivo kwa wakristo basi ni mfano tosha wa mfumo kuwapo ndani ya utendaji wa serikali
Hayo mengine yote yanaanzia hapo na mada yako ingegusia hili ungepata ukweli

Serikali ndio mlezi wa mambo yote yaliyopo nchini,

Mwaka 1982 kulitokea mgogoro katika kanisa la kirokole la TAG kati ya marehemu Mch Moses Kurola na Mch Emanuel Razaro, yalitokea mapigano makali kati ya wafuasi wa pande hizo na mwisho serikali iliingilia kati kwakutuma kikosi kazi cha FFU kilipelekwa na kutumia nguvu kubwa kutuliza vurugu hizo pale Tabora,

Hatimae TAG ilivunjwa na kugawanywa ikazaliwa EAG,

Fikiria hapo wangekuwa ni waislamu leo tungekuwa tunaongea lugha gani?

Mwaka 2012 kanisa la Anglicana lilikuwa na mgogoro mkubwa ulioamuliwa na mahakama (za serikali)

Hapo jiulize iweje serikali inaposaidia kuleta amani katika taasisi hizi za kiroho isemwe kuwa inakandamiza kwa lengo la mfumo kristu??
 
Nicholas

Kazi nzuri sana, hongera kwa ujasili wakupambana na maamuma hao wote bila kutetereka!

Tupo nyuma yako tunakusoma kwa utuvu sana kamanda!
 
Ni mada nzuri. Lakini sitaki niamini kuwa mtafiti unaweza kuhoji watu laki tatu kujua imani zao. Inawezekana pengine sijakuelewa.
Nimetumia miezi zaidi ya 36 kufanya utafiti huu,

Nini kingeshindikana?
 
Jesus Christ changed everything in this planet. See after he was born we started counting one... in our calendar. His crucifiction cross is everywhere. In mathematics we use it to indicate addition which is always a positive change. The world is ruled by the power of christ, even the muslim world depends on christians for their survival and the smart muslims know it very well. Those who protest against christianity are wasting their time. Jesus himself said his kingdom is everlasting!
 
utafiti wa mleta mada ni uwongo usiokua na shaka!duka laki 5,kwa siku aliweza tembelea maduka mangapi ndani ya hiyo miaka 3?je ni kweli dar kuna idadi hiyo ya wana siasa?,wakazi wa dar 6m then laki nne wanafanya siasa?
 
Jesus before he died he cryed,''Eloh eloh lam sabak...

Kumbe Yesu alikufae.......!!!!!!!!!!

(Alah Alah why are u leaving me''.
Jesus beliaved in Allah not jehova.

Waislam hawaoni aibu kusema uongo mbele ya hadhara kubwa kama hii ya hapa JF
Eli sio ALLAH
Eli ni sifa kama ilivyo Mungu sio jina la Mungu
Allah kwa upande mwingine haina tafsiri hata wao wanajua hili na huwa wanasema hivyo
Tatizo lao ni vilaza wanapostaka kujifananisha na Ukristo wanasahau wanachokuwa wanasema

Eli could be Allah.

Uongo huu nimeshausema hapo juu
Eli kwa kiarabu ni ilah sio Allah!

EmanuELI=God with us.

At this wanakubali kuwa Emanu-Eli ni Mungu pamoja nasi lakini kwenye suala la Yesu wanakataa,labda nikuulize wewe ulieandoka hapa
Hili jina alipewa nani na kwanini?
AbdALLAH=servant of God.

Acha uongo wewe mbona mnasemaga Allah haina tafsiri?
Unajua kuwa allah ilitoka wapi?

But.
There is no such a thing as>emanujehova.

Usichokijua wewe kilaza ni kuwa hujui tofauti kati ya jina na sifa
El ni sifa sio jina
Jehova ni jina la Mungu
Hakuna mungu mwingine anaitwa Jehova
Allah ni jina la mungu wa waarabu wa kabila la ki-quresh
mungu huyu yupo makah hadi leo

Wahindu wana mungu wao
Waarabu wana mungu wao
Waisraeli wana Mungu wao
Budha wana mungu wao n.k

Kila kinachoabudiwa kupewa sifa ya uungu haijalishi ni kitu gani au ni Mungukweli ama la
Mungu wa waarabu anaitwa Allah
Mungu wa Waisraeli anaitwa Jehova

Leo wakipatikana watu wanakuabudu wewe watakuita mungu
Jina la Mungu wa Waisraeli ni Jehova maana yako ni NIKO AMBAE NIKO
Allah kwa upande wa pili haina tafsiri

Kwa waisraeli sifa ya Mungu inajulikana kama El na jina la Mungu ni Jehova
Sasa namuuliza huyu alieandika huu uha.ro hapa Kama Allah tafsiri yake ni mungu je jina la mungu kwa kiarabu ni nini?

Now tell me,WHY ARAB CHRISTIAN BIBLE REFER GOD AS ALLAH?.

Kma wapo ni kutokujua tu ndiko kunawafanya kumuita Mungu hivyo!

Uislam unaenezwa kwa njia kuu 2
1:Uongo
2:Ugaidi

Watu wakikataa kukubaliana na uongo wanatumia ugaidi kuwalazimisha!
 
Nicholas

Kazi nzuri sana, hongera kwa ujasili wakupambana na maamuma hao wote bila kutetereka!

Tupo nyuma yako tunakusoma kwa utuvu sana kamanda!

Kwakweli hata mimi nampa hongera sana
Hawa watuni hatari sana

Walikuwa kama wanne hivi lakini kichawa kimoja tu kikawatosha!!!!!!!!!!!!!!!!
 
utafiti wa mleta mada ni uwongo usiokua na shaka!duka laki 5,kwa siku aliweza tembelea maduka mangapi ndani ya hiyo miaka 3?je ni kweli dar kuna idadi hiyo ya wana siasa?,wakazi wa dar 6m then laki nne wanafanya siasa?

Kumbe hata hujui Dar ina maduka mangapi halafu unakuja kubisha!!!!!!!!!!!!!!
We kweli hamnazo!!!!!
 
Kwakweli hata mimi nampa hongera sana
Hawa watuni hatari sana

Walikuwa kama wanne hivi lakini kichawa kimoja tu kikawatosha!!!!!!!!!!!!!!!!

Hehee wameenda kupumzika watarudi tu,

Mada hii hawawezi kuikwepa kabisa hata chembe
 
Serikali ndio mlezi wa mambo yote yaliyopo nchini,

Mwaka 1982 kulitokea mgogoro katika kanisa la kirokole la TAG kati ya marehemu Mch Moses Kurola na Mch Emanuel Razaro, yalitokea mapigano makali kati ya wafuasi wa pande hizo na mwisho serikali iliingilia kati kwakutuma kikosi kazi cha FFU kilipelekwa na kutumia nguvu kubwa kutuliza vurugu hizo pale Tabora,

Hatimae TAG ilivunjwa na kugawanywa ikazaliwa EAG,

Fikiria hapo wangekuwa ni waislamu leo tungekuwa tunaongea lugha gani?

Mwaka 2012 kanisa la Anglicana lilikuwa na mgogoro mkubwa ulioamuliwa na mahakama (za serikali)

Hapo jiulize iweje serikali inaposaidia kuleta amani katika taasisi hizi za kiroho isemwe kuwa inakandamiza kwa lengo la mfumo kristu??

Mkuu kuwa muislam kuna maana ya kutokutumia akili
Mambo rahisi kama haya hawayaelewi je wajayaelewa makubwa?
 
Hehee wameenda kupumzika watarudi tu,

Mada hii hawawezi kuikwepa kabisa hata chembe

Watakuja tu najua
Kila mahali wamekuwa wakileta vurugu hawa watu

Nadhani watakuja na mbinu nyingine,we subiri tu uone!!!!
 
Kumbe hata hujui Dar ina maduka mangapi halafu unakuja kubisha!!!!!!!!!!!!!!
We kweli hamnazo!!!!!

Eneo la Kariakoo ambako kunamkusanyiko mkubwa wa wafanyabiashara na biashara zao kulitoa picha stahiki za utafiti wangu,
Kariakoo na viunga vyake pekee nilitembelea maduka 489,125, kati ya hayo 312,568 yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, na maduka 176,500 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Ukristu wakati maduka 57 wamiliki wake ni wa dini nyingine
 
utafiti wa mleta mada ni uwongo usiokua na shaka!duka laki 5,kwa siku aliweza tembelea maduka mangapi ndani ya hiyo miaka 3?je ni kweli dar kuna idadi hiyo ya wana siasa?,wakazi wa dar 6m then laki nne wanafanya siasa?

Unabisha lakini huleti ukweli ukweli wako,

Wanadamu tunatofautiana sana katika uelewa
 
Eneo la Kariakoo ambako kunamkusanyiko mkubwa wa wafanyabiashara na biashara zao kulitoa picha stahiki za utafiti wangu,
Kariakoo na viunga vyake pekee nilitembelea maduka 489,125, kati ya hayo 312,568 yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, na maduka 176,500 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Ukristu wakati maduka 57 wamiliki wake ni wa dini nyingine
Fafanua mkuu, nini unachokibisha hapo?

Lete takwimu zako ili kupinga hizi zangu
 
ndomana nikasema mnatoa majibu mepesi kwa maswli magumu. Jiulize, serekali itaendelea kutegemea hizo hosipitali mpaka lini?
Je mpaka leo tangu tupate uhuru, serekali haijaweza kujenga hosipitali zake yenyewe?
Jumla ya ruzuku ilokwisha tolewa ingeweza kujenga hosipitali ngapi bora zaidi ya hizo?
Mbona wanapewa ruzuku na bado wanatoa matibabu kwa gharama kubwa, mf: ni majuzi tu kcmc walipandisha gharama maradufu mpaka mkuu wa mkoa akaingilia kati?

Fikiri nje ya boxi mkuu.
Rais ni mwisilamu,makamu wa rais ni mwisilamu pia!kwa nini msiwaulize wakija misikitini hayo maswali magumu as you call them?If that is the case hilo linakuwaje kosa la wa kristu walioamua kuboresha huduma za afya na elimu nchini?Na ninyi mlikatazwa kujenga hizo hosipitali ili mpate ruzuku?Mimi nilishafanya kazi ktk mradi waafya vijijini.Katika mkoa wa Ruvuma 60% YA zahanati ni za kanisa....nz zinatoa huduma kwa watu wote bila kujali dini wala jinsia!...hizi lawama pelekeni kwingine!
 
Yaani ukristo unalindwa dola bila dola kuulinda unakwishilia mbali kwa sababu sio dini ya haki ni mpango tu wa waroma
 
Rais ni mwisilamu,makamu wa rais ni mwisilamu pia!kwa nini msiwaulize wakija misikitini hayo maswali magumu as you call them?If that is the case hilo linakuwaje kosa la wa kristu walioamua kuboresha huduma za afya na elimu nchini?Na ninyi mlikatazwa kujenga hizo hosipitali ili mpate ruzuku?Mimi nilishafanya kazi ktk mradi waafya vijijini.Katika mkoa wa Ruvuma 60% YA zahanati ni za kanisa....nz zinatoa huduma kwa watu wote bila kujali dini wala jinsia!...hizi lawama pelekeni kwingine!

Ninakumbuka vema Rais Jakaya Kikwete (muislam) aliwahi kuwaambia wapeleke nao mswada, lakini sijui mpaka leo wamefikia wapi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom