Ndugu tukiangazia nyanja za kimataifa ili kujua kama Tanzania ni ya mfumo kristu ama laa tunaweza kuona mambo mengi sana,
Lakini tusipotumia akili na busara tunaweza kuibuka na kukubaliana na upotoshaji huo wa wenzetu,
Ni ulize tu hivi, kwani hatuna balozi za iran? saudia? indonesia? Kwani hizo sio sawa na Vatican? kwa HADHI VATICAN ni NCHI hivyo huwezi kuukataa ubalozi wake kwetu. Pope ni raisi wa nchi ya Vatican
OIC ni Jumuiya sio nchi yenye malengo yake ya kidini (sitaki kuayataja)Ukilinganisha na UNESCO, AU WHO n.k hayana mlengo wa kuhudumia watu fulani tu, na hayafungamani na imani fulani.
Kikubwa ni kuwa OIC Kama ilivyo kwa organisation nyingine inaweza kusaidia yeyote, watujengee mashule, visima, misikiti n.k nafikiri wote tutafaidika nao. Kwasasa sioni haja ya kuliweka kaika katiba yetu.
VATICAN ni nchi na OIC si nchi ni jumuiya,