UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Christianity is a religious Roman empire inveted to codify moral law.ROME was not out to christianize the entire world,but merely to secure it,set it up under common laws,banking and trade.
 
Kikwete yupo madarakani kwa mjibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, anaongoza kwakutumia katika hiyo,

Swali:

1) Katika Katiba hiyo nikifungu kipi au namba ngapi kinachosema wazi kuwa Tanzania ni ya mfumo kristu?

2) Nikifungu kipi kinachosema rais anasimamia na watu wa mfumo kristu katika utendaji wake?

3) Ofisi za mfumo kristu zipo wapi katika nchi hii?
Hivi na wewe unatambua kwamba nchi hii kuanzia Mwinyi na Mkapa baba yako wa taifa ndio
alikuwa anatuchagulia! kuna kipindi JK alikuwa anataka kugombea urais baba yako akamwambia
bado hujafikia uwezo huo.

Swali lako la kwanza sio lazima katiba iseme Tanzania kuna mfumo kristo hicho nikitu kiliasisiwa
kupitia mlango wa nyuma na baba yako na ndio maana aliwaweka ndani masheikh wote waliostukia
hiyo issue ya mfumo kristo.

Swali la pili mimi nafikiri hujajua maana ya neno "mfumo kristo" unaweza kuwa unaongozwa na
mfumo kristo pasipo wewe kujua au ukajua lakufanya ukakosa kwahiyo JK nimuislamu lakini
lakufanya hana na ukweli anaujua na chama chako kikichukua 2015 ndio kabisaaaaa tumekwisha

Swali la tatu ofisi za mfumo ziko magogoni lakini watu wengi hawalijui hili na "the founder" ni
ni baba yako wa taifa.
 
After Norman conguest of england,europe began converted to roman christianity.
That was the beginning of Roman laying foundation of the SHADOW GOVERNMENT THAT WOULD RULE THE WORLD.
The problem was,at the same time The islamic religion was spreading steadily and rapidly throughout middle east and much of africa and EVEN PART OF SPAIN.
It was a threat to christianity,a way had to be found to put a stop to islamic religion spread.
 
Christianity is a religious Roman empire inveted to codify moral law.ROME was not out to christianize the entire world,but merely to secure it,set it up under common laws,banking and trade.

Hawa ndio waliandika biblia?

Vipi kuhusu people of the book?
Hawa ni watu gani?
Mbona wametajwa kwenye Quran?
Au nayo ni ya warumi?
 
After Norman conguest of england,europe began converted to roman christianity.
That was the beginning of Roman laying foundation of the SHADOW GOVERNMENT THAT WOULD RULE THE WORLD.
The problem was,at the same time The islamic religion was spreading steadily and rapidly throughout middle east and much of africa and EVEN PART OF SPAIN.
It was a threat to christianity,a way had to be found to put a stop to islamic religion spread.

Haya yalitokea mwaka gani?
 
Serikali ndio mlezi wa mambo yote yaliyopo nchini,

Mwaka 1982 kulitokea mgogoro katika kanisa la kirokole la TAG kati ya marehemu Mch Moses Kurola na Mch Emanuel Razaro, yalitokea mapigano makali kati ya wafuasi wa pande hizo na mwisho serikali iliingilia kati kwakutuma kikosi kazi cha FFU kilipelekwa na kutumia nguvu kubwa kutuliza vurugu hizo pale Tabora,

Hatimae TAG ilivunjwa na kugawanywa ikazaliwa EAG,

Fikiria hapo wangekuwa ni waislamu leo tungekuwa tunaongea lugha gani?

Mwaka 2012 kanisa la Anglicana lilikuwa na mgogoro mkubwa ulioamuliwa na mahakama (za serikali)

Hapo jiulize iweje serikali inaposaidia kuleta amani katika taasisi hizi za kiroho isemwe kuwa inakandamiza kwa lengo la mfumo kristu??
Hapo kwenye red ni unafiki haikuvunjwa na sio EAG ni EAGT na ilikuwa ni uchaguzi Moses Kolola alishindwa
kwenye uchaguzi na Lazaro hakukubaliana na matokeo ndio akaanzisha kanisa lake la EAGT.

Wacha uongo bwana mdogo mbona huzungumzii yaliyotokea Meru wakigombea dayosisi au walikuwa ni
waislamu wanagombana watu walivyokuwa na roho mbaya wali kata mpaka migomba na kuua ng'ombe
dah kweli nyani haoni .........!
 
Jibu hayo maswali hapo juu!!!!!!

how were they to stop islam then..
Islam being a rival of both christianity and judaism had to be stopped by any means necessary.
The stage was finaly set for the most important part of JULIUS CAESAR'S DIVIDE AND CONGUER PLAN.
Muslim were not to be united,muslim were to be kept weak,muslim were to be costantly fighting each other or invaded.
 
Katika Katiba hiyo nikifungu kipi au namba ngapi kinachosema wazi kuwa Tanzania ni ya mfumo kristu?

Swali lako la kwanza sio lazima katiba iseme Tanzania kuna mfumo kristo hicho nikitu kiliasisiwa
kupitia mlango wa nyuma na baba yako na ndio maana aliwaweka ndani masheikh wote waliostukia
hiyo issue ya mfumo kristo.

2) Nikifungu kipi kinachosema rais anasimamia na watu wa mfumo kristu katika utendaji wake?

Swali la pili mimi nafikiri hujajua maana ya neno "mfumo kristo" unaweza kuwa unaongozwa na
mfumo kristo pasipo wewe kujua au ukajua lakufanya ukakosa kwahiyo JK nimuislamu lakini
lakufanya hana na ukweli anaujua na chama chako kikichukua 2015 ndio kabisaaaaa tumekwisha

Kwa kuongezea tu hapo kuhusu huyu jamaa badala ya kufikiri Yerico hajui maana ya mfumo kristo angesoma mada wala asingesema hayo hapa,hapa chini Yerico akielezea maana ya mfumo kristo:
Kwanza kwa tafsiri ya kawaida ya "mfumo kristu" ni "utaratibu unaotumika kuongoza/kutawala mahali/watu kwa misingi ya dini ya kikristu"

Badala huyu jamaa kupoteza muda kupost mambo yake ya hovyo hapa angetumia muda kuisoma mada akaielewa angejisaidia sana!!!!

3) Ofisi za mfumo kristu zipo wapi katika nchi hii?

Swali la tatu ofisi za mfumo ziko magogoni lakini watu wengi hawalijui hili na "the founder" ni
ni baba yako wa taifa.

Hebu tu-assume huyu jamaa alikuwa anajibu kwa mtiririko huo angalia hapo juu manweza tu kuona matatizo ya akili aliyonayo huyo jamaa!
 
It was time to indocrinate the christian also,for nearly 300 years a total of nine separate holly crusade would indocrinate and then exploit deep and biter rivalries between muslim and christians that REMAIN TO THIS DAY.
 
Kwanza kwa tafsiri ya kawaida ya "mfumo kristu" ni "utaratibu unaotumika kuongoza/kutawala mahali/watu kwa misingi ya dini ya kikristu"

Nchini Tanzania kumekuwepo na madai kuwa Tanzania "ni ya mfumo kristu",

Madai haya ni mazito na yanahitaji majibu yakinifu kutoka serikalini kwakuwa yanagusa imani za watu, yana athiri uchumi wetu, yana athiri siasa za nchi yetu, yana athiri elimu yetu pia yana athiri ajira nchini, lakini serikali imekuwa kimya kwa mda mrefu sasa,

Kwa dhana hiyo hapa wanaosema Tanzania ni ya mfumo kristu inamaana kuwa sekta zote zinazosimamiwa na serikali ya Tanzania zipo chini ya Ukristu na hata serikali kuanzia Urais hadi mjumbe wa nyumba kumi nk!

Mwaka 2011 nilijipa kazi maalumu yakuusaka ukweli kuhusu madai hayo,

UTAFITI wangu ULIFANYIKA katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza na Zanzibar, hii ni kutokana na kuwa majiji haya ndio kitovu cha mambo yote na mwelekeo wa taifa letu, na ndiyo yenye wakazi wengi zaidi ambao ni zaidi ya 15% ya Watanzania wote!

Haikuwa kazi rahisi kupata nilichokihitaji hasa kila nilipojaribu kuomba ufafanuzi kwa walioimba na wanaoendelea kuimba wimbo huo wa "Mfumo Kristu" kukosa majibu mujarabu,

Nilipanga safu yangu ya kiutafiti katika makundi yafuatayo,

1) Siasa,
2) Elimu
3) Ajira
4) Uchumi

A. Katika anga la siasa hapa nilijikita kuangalia Watanzania wanaohudumu katika ngazi za kimaamuzi ya kisiasa tu kwa jiji la Dar, Mbeya, Mwanza, Arusha na Zanzibar

Jiji la Dar limekumbatia wanasiasa 521,556 ambao huendeshea shughuli zao za kisiasa Dar tu, niliowahoji imani zao za kiroho ni 360,001 kati ya hawa 270,823 ni waamini wa Uislamu na 89,100 ni waamini wa Ukristu huku 72 ni waamini wa imani zingine na 6 ni waamini wa Urasta fari.

Kundi la wanasiasa lililobaki nilitumia kigezo cha majina yao japo kina akisi kwa 98% tu ya ukweli wao!

Jiji la Mbeya lina wanasiasa 1360 ambao wanahudumu katika siasa ndani ya jiji hilo. niliowahoji kujua imani zao za kiroho ni 386 kati ya hawa 272 ni waamini wa Ukristu na 112 ni waamini wa Uislamu huku 2 ni waamini wa imani zingine na hakuna waamini wa Urasta fari.

Jiji la Mwanza lina wanasiasa 2682 wanaohudumu katika siasa ndani ya jiji hilo, niliowahoji kujua imani zao za kiroho ni 1230 kati ya hawa 324 ni waamini wa Uislamu na 696 ni waamini wa Ukristu huku watu 58 ni waamini wa imani zingine na hakuna waamini wa Urasta fari.

Zanzibar ina wanasiasa 682 wanaohudumu katika siasa ndani ya mamlaka hiyo, niliowahoji kujua imani zao za kiroho ni 123 kati yao 120 ni waamini wa Uislamu na 2 ni waamini wa Ukristu huku watu 1 ni waamini wa imani zingine na hakuna waamini wa Urasta fari.

B. ELIMU

Hapa kwenye sekta ya elimu kwakutumia takwimu za wizara ya Elimu, nilitumia majina ya wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2011-2012 kutambua imani zao japo sio njia aminifu kwa asilimia mia.

Mkoa wa Dar mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 120,032, kati yao 111,231 ni Waislamu, na 8,801 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa!

Mkoa wa Mbeya mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 76,136, kati yao 25,621 ni Waislamu, na 50,515 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa!

Mkoa wa Mwanza mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 100,116, kati yao 23,522 ni Waislamu, na 76,594 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa

Zanzibar mwaka 2011 walihitimu wanafunzi wa kidato cha nne 89,139, kati yao 89,138 ni Waislamu, na 1 ni Wakristu, hapa dini nyingine hazikuangaliwa

C. AJIRA

Kwamjibu wa takwimu zilizopo Wizara ya Utumishi na ambazo mimi nimetzitumia kama rejea kuu ni kuwa,

Mwezi wa 7 mwaka 2012 Mkoa wa Dar es Salaam ulikuwa na wafanyakazi 876,981, kati yao 492,238 ni Waislamu, wakati 384,700 ni Wakristu na 43 ni wa dini nyinginezo!

Mwezi wa 7 mwaka 2012 Mkoa wa Mwanza ulikuwa na wafanyakazi 226,139, kati yao 114,023 ni Waislamu, wakati 112,116 ni Wakristu na 0 ni wa dini nyinginezo!

Mwezi wa 7 mwaka 2012 Mkoa wa Mbeya ulikuwa na wafanyakazi 199,226, kati yao 99,221 ni Wakrstu, wakati 100,005 ni Waislamu na 0 ni wa dini nyinginezo

Mwezi wa 7 mwaka 2012 Zanzibar ilikuwa na wafanyakazi 113,206, kati yao 113,001 ni Waislam, wakati 205 ni Waikristu na 0 ni wa dini nyinginezo

D. UCHUMI

Katika anga la uchumi nchini nilimulika zaidi idadi ya wafanyabiasha katika miji hiyo kwakutumia takwimu za TRA na BRELA

Mwezi wa kumi nambili Mwaka 2012 jiji la Dar es Salaam pekee lilikuwa na makampuni (Limited) 4737 kwamjibu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni, kati ya hayo utafiti unaonyesha 3826 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Uislamu kwa 100%, wakati 911 yalikuwa yanamilikiwa na Waamini wa Ukristu,

Eneo la Kariakoo ambako kunamkusanyiko mkubwa wa wafanyabiashara na biashara zao kulitoa picha stahiki za utafiti wangu,
Kariakoo na viunga vyake pekee nilitembelea maduka 489,125, kati ya hayo 312,568 yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, na maduka 176,500 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Ukristu wakati maduka 57 wamiliki wake ni wa dini nyingine

Mwezi Januari Mwaka 2013 jiji la Mbeya lilikuwa na makampuni (limited) 197 kwamjibu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kati ya hayo utafiti unaonyesha makampuni 102 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, wakati makampuni 95 yalikuwa yanamilikiwa na Waamini wa Ukristu.

Jiji la Mwanza lilikuwa na makampuni (limited) 204 kwamjibu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kati ya hayo utafiti unaonyesha makampuni 102 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, wakati makampuni 95 yalikuwa yanamilikiwa na Waamini wa Ukristu.

Zanzibar ililikuwa na makampuni (limited) 81 kwamjibu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar, kati ya hayo utafiti unaonyesha makampuni 72 yalikuwa yanamilikiwa na waamini wa Uislamu, wakati makampuni 9 yalikuwa yanamilikiwa na Waamini wa Ukristu.

Msomaji unaweza kutumia mang'amuzi yako kujua hoja ya wenye hoja!

Ndugu zangu Watanzania, tuendeshe siasa za kistaarabu kuilinda nchi yetu iliyojengwa kwa jasho na damu, dhana za kufikirika na zenye agenda mtambuka na wakwale zitalipeleka taifa letu pabaya!

Hongera sana,

Taifa linahitaji watu kama hawa, hata kama kuna mapungufu lakini umeonyesha njia na wengine sasa waingie mtaani kuusaka ukweli huo
 
Hawa ndio waliandika biblia?

Vipi kuhusu people of the book?
Hawa ni watu gani?
Mbona wametajwa kwenye Quran?
Au nayo ni ya warumi?
Watu wa kitabu ni wale waliokuwa wanatumia torati,injili na zaburi na hivi vitabu sisi hatuvikatai
na ukiona muislamu yoyote anapinga kitabu kimoja wapo katika hivi ujue hajitambui huyo.

Hivyo vitabu vilikuwa ni sahihi lakini wajanja walipokuja wakaamua kuingiza mikono yao ndio
mwenyezi mungu alipoamua kuleta kitabu cha ukweli ambacho hakina shaka ndani yake nacho
ni QURAN ilikuondoa mzozo kati ya hawa wayahudi na manaswara(wakristo).

Kwasababu wayahudi walikuwa wanasema uzzeri ni mwana wa mungu na wakristo wanasema
Yesu ni mwana wa mungu,Wayahudi wakawa wanapinga kwamba haiwezekani Yesu awe ni
mwana wa mungu wakati amezaliwa kwa zinna wakiamini kwamba Yusuf alitembea na Mariam
ndio akapatikana Yesu(Isa)kwahiyo Quran ilikuja kuondoa huu mzozo.
 
Kikwete yupo madarakani kwa mjibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, anaongoza kwakutumia katika hiyo,

Swali:

1) Katika Katiba hiyo nikifungu kipi au namba ngapi kinachosema wazi kuwa Tanzania ni ya mfumo kristu?

2) Nikifungu kipi kinachosema rais anasimamia na watu wa mfumo kristu katika utendaji wake?

3) Ofisi za mfumo kristu zipo wapi katika nchi hii?

sio katika nchi hii tu,ni mfumo uko global.

Jibu maswali hayo ndugu,

Kama ni mfumo uko global, hebu tupatie katiba yake,

Maana hakuna mfumo wa kuongoza usio na Katiba

Haya hapa chini ndio majibu yake!!!!!!!!

how were they to stop islam then..
Islam being a rival of both christianity and judaism had to be stopped by any means necessary.
The stage was finaly set for the most important part of JULIUS CAESAR'S DIVIDE AND CONGUER PLAN.
Muslim were not to be united,muslim were to be kept weak,muslim were to be costantly fighting each other or invaded.

Wana JF msishangae hivi ndivyo hawa watu wanavyofikiria!!!!!!!
Badala ya kushighulika na matatizo yao wenyewe ni kulaumu ukristo tu!!!!!!!!
 
Kwa kuongezea tu hapo kuhusu huyu jamaa badala ya kufikiri Yerico hajui maana ya mfumo kristo angesoma mada wala asingesema hayo hapa,hapa chini Yerico akielezea maana ya mfumo kristo:

Badala huyu jamaa kupoteza muda kupost mambo yake ya hovyo hapa angetumia muda kuisoma mada akaielewa angejisaidia sana!!!!

Hebu tu-assume huyu jamaa alikuwa anajibu kwa mtiririko huo angalia hapo juu manweza tu kuona matatizo ya akili aliyonayo huyo jamaa!
Sawa tufanye mm ninamatatizo wewe ambae huna matatizo unalipi la maana uliloandika au kazi yako ni kutoa like kwa wanaume wenzako
 
Watu wa kitabu ni wale waliokuwa wanatumia torati,injili na zaburi na hivi vitabu sisi hatuvikatai
na ukiona muislamu yoyote anapinga kitabu kimoja wapo katika hivi ujue hajitambui huyo.

Viko wapi hivi?

Hivyo vitabu vilikuwa ni sahihi lakini wajanja walipokuja wakaamua kuingiza mikono yao ndio
mwenyezi mungu alipoamua kuleta kitabu cha ukweli ambacho hakina shaka ndani yake nacho
ni QURAN ilikuondoa mzozo kati ya hawa wayahudi na manaswara(wakristo).

Mungu gani huyo?

Kwasababu wayahudi walikuwa wanasema uzzeri ni mwana wa mungu na wakristo wanasema
Yesu ni mwana wa mungu,Wayahudi wakawa wanapinga kwamba haiwezekani Yesu awe ni
mwana wa mungu wakati amezaliwa kwa zinna wakiamini kwamba Yusuf alitembea na Mariam
ndio akapatikana Yesu(Isa)kwahiyo Quran ilikuja kuondoa huu mzozo.
[/QUOTE]

Nani amekuambia Yesu ni Isa?
Naomba ushahidi hapa kuwa Yesu kwa kiarabu ni Isa!
 
Sawa tufanye mm ninamatatizo wewe ambae huna matatizo unalipi la maana uliloandika au kazi yako ni kutoa like kwa wanaume wenzako

Kwisha habari yako
Povu linakutoka !!!!!:becky::becky::becky::becky:
 
Hawa ndio waliandika biblia?

Vipi kuhusu people of the book?
Hawa ni watu gani?
Mbona wametajwa kwenye Quran?
Au nayo ni ya warumi?
the bible we have today is not the original,someone tampered with it.
 
Haya hapa chini ndio majibu yake!!!!!!!!

Wana JF msishangae hivi ndivyo hawa watu wanavyofikiria!!!!!!!
Badala ya kushighulika na matatizo yao wenyewe ni kulaumu ukristo tu!!!!!!!!
mpendwa katika yesu punguza papara ndugu,usikimbilie kuponda tu,calm down.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom