Bukobakwetu
Member
- Sep 17, 2013
- 12
- 0
Hui ndio ukweli japo ni mchungu kwa wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takwimu zilizopo humu hazina ukweli kwa kiwango kikubwa. Wanasiasa 521,000 Dar unamaanusha wanachama WA vyama vya siasa au viongozi? Sidhani kama kuwa mwanachama WA chama cha siasa automatically unakuwa mwanasiasa. Na kama Ni viongozi, uongozi WA kisiasa unaanzia ngazi ya mtaa, sidhani kama Dar Ina mitaa laki tano, no way...
Hope kwenye ajira umeongelea sekta zote na sio public peke yake kama watu wanavyodhani.
Pia napata shida Sana kuamini kuwa mtafiti anaweza kutembelea maduka 489,000. Ina maana hii Ni sensa, yaani umetembelea entire population. Je ulikuwa na maswali unauliza au checklist? Nijuavyo researcher makini anaweza kuwafikia watu 10 kwa siku maximum, kwa hiyo kama ulikuwa na watafiti 1000 wangetumia siku 48 kutembelea maduka ya kariakoo na hata kama ulikuwa unawalipa 10,000 kwa siku maana yake ungetumia shs 480,000,000. Sina hakika unafanya biashara gani lakini siamini kama unaweza kutumia hela yote hii kwa tafiti ya kuangalia mfumo kristo. Unless ulete Raw data, sisi researchers hatuwezi hata robo kukubaliana na wewe
Hui ndio ukweli japo ni mchungu kwa wengine
Mfumo Kristu.
BSV:duh,wewe ni noumer,bible imesema wazi ,amekuja pale eden hajamuona ikabidi aite.
Haya tuache hilo,kumbe yahweh pia ni msahalifu.
Kampatia jacob,jina jipya kuwa kuanzia sasa utaitwa israel.
Yet amesahau anaendelea kumwita jacob,jacob.
We mtoto wa kufikia una matatizo sana, hebu lete humu nakala ya dodoso la hiyo tafita.
Tufahamishe 'modelity' ya tafiti yako !..........eti umehoji watu laki tatu !?
Yaani watu wa kujaza uwanja wa mpira wa Taifa mara tano !!!
Ehheee anapokufa rastafari ni wapi muelekeo wake baada ya maisha ya hapa duniani man!
Mkuu nakusoma kwa umakini sana,
Hongera sana kwakuwatawala hawa maamuma wetu,
Kweli nimeamini hakuna kijiji kisicho na wazee,
Wafunde ipasavyo mpaka waelewe kuwa Tanzania hakuna mfumo kristu wala ndugu yake mfumo islamu!
Dini hizi jamani duh kazi ipo! Tunaenda wapi? Tuendelee kusaidiana ndugu
Uislamu ulikuwapo toka wakati wa Adam
AND STRIVE IN HIS CAUSE AS YE OUGHT TO STRIVE ,(with sincerity and under discipline).HE HAS CHOSEN YOU,AND HAS IMPOSED NO DIFFICULTIES ON YOU IN RELIGION :IT IS THE CULT OF YOUR FATHER ABRAHAM .IT IS HE WHO HAS NAMED MUSLIMS ,BOTH BEFORE AND THIS (Revelation);that the Messenger may be witnesses for you ,and ye be witnesses for mankind !So establish regular Prayer.give regular Charity ,and hold fast to Allah!He is your Protector -the Best to protect and the best to help!
Qur-aan 22:78
Aya za shetani ziko wapi?lete ushahidi.Hiyo Qur-aan ukianza kuisoma inaanza na kwa kusema,NAJILINDA NA ALLAH,KUTOKA NA SHETANI ALIYEWEKWA MBALI NA REHEMA.na aya kibao zimo ndani ya Quraan zinakataza kumfuata shetani,sasa shetani aweke aya zake,halafu akataze watu wasimfuate?Haha nini kinakuuma..kasema tuu dini zimeletwa na majahazi,leo zinasumbue watu sasa povu la nini?.....haha..mbona mimi sikubaliani na imani ya Yericko km naye vile ila hakuna hata chembe za kugombea dini?Its funny nyie kila mlipokaribishwa milianza kuwa busy walazimisha wengine kusoma kitu nyie wenyewe hamtaki kisoma.....
Mda mrefu huwa mnaongelea sana dini nyingine kuliko safisha dini yenu..ndio maana hadi leo hamjaweza jiuliza aya za shetwani zipo kutimiza malengo ya nani?
QUR-AAN 58Haha mbona upo mbali sana..unataka tena hubiri Urastafarian?Kwani Quran iliandika..au allah ahakuweza andika zaidi ya dini alizokutana nazo muhamad...?hakujua urasta, ungekuwepo?hakujua kuan uhindu, ubutha ,etc....?hehe..hembu tuambie ubingwa wa vitabu vya marasta ......
Aya za shetani ziko wapi?lete ushahidi.Hiyo Qur-aan ukianza kuisoma inaanza na kwa kusema,NAJILINDA NA ALLAH,KUTOKA NA SHETANI ALIYEWEKWA MBALI NA REHEMA.na aya kibao zimo ndani ya Quraan zinakataza kumfuata shetani,sasa shetani aweke aya zake,halafu akataze watu wasimfuate?
Soma QUR-AAN 2:168
NA WALA MSFUATE NYAYO ZA SHETANI.BILA SHAKA YEYE KWENU NI ADUI ALIYE DHAHIRI.
SOMA QUR-AAN MAIDA AYA YA 90
"ENYI MLIOAMINI!HAKIKA ULEVI,NA KAMARI,NA KUABUDU MASANAMU,NA KUPIGA RAMLI,NI UCHAFU KATIKA KAZI ZA SHETANI.BASI JIEPUSHENI NAVYO ILI MPATE KUFANIKIWA."
Jaribuni kusoma wagalatia,msiambiwe maneno,mkayafuata bila kuchunguza,mtaonekana hamna kitu kichwani
Hakuna hata aya moja inayonyesha kuhusiana na shetani umetoa,zaidi ume coppy na kupaste,kwa mtu ambaye ameandika ktu kingine kabisa.Usi copy na kupaste kitu usichojuwa,haha..kwanini unadhani Salman Rushdie hajajibiwa badala yake mnatafuta kumua?Hembo Onja hii?
Never sent We a messenger or a prophet before thee but when He recited (the message) Satan proposed (opposition) in respect of that which he recited thereof. But Allah abolisheth that which Satan proposeth. Then Allah establisheth His revelations (ayatihi). Allah is Knower, Wise; S. 22:52 Pickthall
[SIZE=-1]And they indeed strove to beguile thee (Muhammad) away from that wherewith We (God) have inspired thee, that thou shouldst invent other than it against Us; and then would they have accepted thee as a friend.
And if We had not made thee wholly firm thou mightest almost have inclined unto them a little.
Then had We made thee taste a double (punishment) of living and a double (punishment) of dying, then hadst thou found no helper against Us. (17:73-75)[/SIZE]
Mengine soma hapa...Hata kitabu cha Sulmanie Rushdie nadhani huwezi kipata ,wala kuthubutu kiweka ndani ya nyumba wasikuue wale jamaa waliokata vichwa...i
Comparative Index to Islam : SATANIC VERSES
Nandahni inatosha mengine jisomee kwa wakati wako.
Hakuna hata aya moja inayonyesha kuhusiana na shetani umetoa,zaidi ume coppy na kupaste,kwa mtu ambaye ameandika ktu kingine kabisa.Usi copy na kupaste kitu usichojuwa,
Nimekupa aya hizi za kuonyesha shetani yuko wapi,na mimi nionyeshe aya za shetani kama hayuko huko,lete aya inayopinga ushetani ndani ya bibleQUR-AAN 58
19 SHETANI AMEWATAWALA NA ATAWASAHAULISHA KUMKUMBUKA MWENYEZI MUNGU .HAO NDIO KUNDI LA SHETANI.KWELI HAKIKA KUNDI LA SHETANI NDILO LENYE KUPATA KHASARA
20 HAKIKA WANAOMPINGA MWENYEZI MUNGU NA MTUME WAKE,HAO NDIO MIONGONI MWA MADHALILIWA MWISHO
QUR-AAN 29:23
NA WALIOZIKANUSHA ISHARA ZA MWENYEZI MUNGU NA KUKUTANA NAYE,HAO NDIO WENYE KUKATAA TAMAA NA REHEMA YANGU,NA HAO NDIO WENYE KUPATA ADHABU ILIYO CHUNGU
WANAOFUATA SHETANI NI HAWA
MARK 8:33
YESU AKAMWAMBIA PETRO,PETRO NENDA NYUMA YANGU SHETANI(wewe)U-KIKWAZO KWANGU KWA MAANA HUYAWEZI YA MUNGU BALI YA WANADAMU
MATHAYO 16:16
YESU AKAMWAMBIA PETRO WEWE U MWAMBA NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA
MATHAYO 13:38
YESU AKAMWAMBIA PETRO AMIN AMIN KABLA YA JOGOO KUWIKA ASUBUHI UTANIKANA MARA TATU
HUYU ALIYEMKANA BWANA YESU KANISA LASTAHILI KUJENGWA JUU YAKE?MAKANISA YAPO KIBIASHARA ZAIDI WACHUNGAJI WANAISHI MAISHA YA KIFAHARI NA WAUMINI WANA MAISHA YA UMASKINI KUPINDUKIA.JE HAYO NI MAFUNDISHO YA BWANA YESU?AU NI MAFUNDISHO YA WATU WAOVU?