UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.
Kukosa ilimu tamu,Mwakubali Yesu ni Jesus,lakini Yesu si Issa,ni utofauti wa matamshi ya lugha tu,mtu ni yule yule.Jesus in English,Yesu kiswahili,Issa kiarabu.Someni,acheni kununua vyeti.

Sawa kabisa huyu mjinga Nicholas na wenzake wanajitoa ufahamu eti Yesu sio Isa lakini ni jesus yote ni chuki zimejaa mioyoni mwao
 
Mmezoea kufananisha kwa sababu imani yenu ni potofu.
Sisi hatuwatambui mitume wala manabii kwa kuangalia majina, wala hatuwatambui kwa kuchana nywele, wala kwa kupiga mswaki, wala kwa kuowa, wala kwa kuowa wake wengi, bali tunawatambua kwa matunda yao kwa kazi zao
Ndivyo BWANA YESU ALIVYOTUFUNDISHA KUWATAMBUA KWA KUANGALIA KAZI ZAO, NA SI MAJINA YAO.
nyie waislam hamjajaliwa hayo.

Sasa mbona munasema Yesu sio Isa kijana usidandie gari kwa mbele utaimbiwa "simbali karibuuu" lakini sio makosa yako huruhusiwi kuhoji kitu church na ukiuliza swali church utaambiwa kijana una pepo mbaya munapelekwa kibubusa biblia inasema musihojihojiii shindwaaa pepo:banghead::banghead:
 
Rejea hizi tano ni muhimu kwa wanafunzi wahistoria ya siasa Tanzania; na kwa mtafiti yeyote anaetaka kujua chanzo chachuki baina ya Waislam na serikali na chanzo cha hisia kali za kidinizinazoikumba nchi yetu kuanzia miaka ya 1980.
Jan P van Bergen katika kitabu chake, Developmentand Religion in Tanzania, (1981) ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa naoNyerere dhidi ya Uislamu na Waislamu. Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsiNyerere wakati alipokuwa madarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri naviongozi wa Kanisa kuweka mikakati ya kuupa nguvu Ukristo. Katika mikutano hiyoNyerere aliwahakikishia viongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo. Kitabuhicho kinaeleza jinsi Nyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwakuhakikisha kuwa anawapa Wakristo nafasi za juu katika serikali na chama. Kitabuhiki kilikuwa kikiuzwa Catholic Bookshop, Dar es Salaam. Lakiniilipokuja kudhihirikia Kanisa kuwa kitabu hiki kilikuwa kinatoa habari nyeti nasiri za Kanisa kuhusu njama dhidi ya Waislam, kwa haraka sana kikaacha kuuzwa.Hadi hivi sasa kitabu hicho ni marufuku kuletwa tena Tanzania.
Kitabu cha pili ni cha Dr John C. Sivalon, KanisaKatoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985 (1992). Kitabu hikikinaeleza njama ndani ya serikali kuuhujumu Uislam. Sivalon anafichua kuwakuanzia mwaka 1961 baada ya Tanganyika kupata uhuru, Kanisa lilikuwa na hofumbili. Hofu ya kwanza ilikuwa umoja wa madhehebu za Kiislamu kati ya Sunni,Bohora, Ismailia na Ithnasheri. Hofu ya pili ilikuwa kuhamishwa kwa makao makuuya EAMWS kutoka Mombasa kuja Dar es Salaam. Kanisa lilikuwa linahofu kuwa maliwalizokuwanazo Waasia Waislamu zikitiwa katika shughuli za Waislamu ambaowalikuwa na nguvu kubwa katika uwanja wa siasa zitaathiri maslahi ya Ukatolikikatika Afrika ya Mashariki. Kwa ajili hii Kanisa likatanganza kuwa Uislamu niadui wake na ikaanza mikakati ya hujma dhidi ya Uislamu ili kuudhoofisha.
Kuna kazi mbili zilizoandikwa na Waislamukuhusu uhusiano baina ya serikali na Waislamu. Kazi ya kwanza ni tasnifu yaKiwanuka, 'The Politics of Islam in Bukoba District' (1973); kazi yapili ni makala ya utafiti 'Islam and Politics in Tanzania' (1989) iliyoandikwana BWANA MOHAMMED SAID mwandishiambaye sasa hivi anaandika kitabu kinachoitwa "Mwalimu Julius K.Nyerere, Kanisa Katoliki na Uislamu: Dola na tatizo la Udini Tanzania"
Halikadhalika ipo 'Kwikima Report' (1968)ambayo imeeleza kwa ufasaha tatizo la EAMWS, chanzo chake na mchango waserikali katika kuhujumu umoja wa Waislamu. Taarifa hii inafaa kutumika leokama dira ya kuelewa tatizo la Waislamu wa Tanzania kama ilivyokuwa wakati uleilipotolewa kwa mara ya kwanza.
The Literature Reviews are the bases inresearch. Unapaswa usome matokeo ya tafiti tofauti zilizoandikwa juu ya kituunachotaka kukitafiti ili upate deep insight ya kitu hicho kabla hujaanzautafiti. Unatakiwa pia ufanye Critical Assessment and Analysis, sio tukukurupuka ukaandika kama mwanafunzi wa darasa la saba. Na tabia yaku stereotypejamii fulani ya watu kuwa hawakwenda shule isipokuwa ninyi tu hilo nikosa, watuwapo na vichwa vyao wametulia tu kwakuwa sifa ya kibri na ya majivuno ni yaMungu tu.
Kwa mtu mwenye upeo na fikra pana, ukisoma kwa umakini maandishi ya Jan P van Bergen na John Sivalon utaona kuwa tafiti zao zilikuwa sahihi katika mapito ya Tanzania toka mikono ya Mkoloni, mikono ya Julius Nyerere na mwangaza mpya wa Tanzania hii tuionayo leo,

Tofauti na uhalisia huo, Waislamu wametohoa tafsiri yakuwa Mwalimu Nyerere ndie creator wa mfumo, kumbe alikuwa ndie destroyer
 
Wewe kijana chamtemamoto !
umekuwa ukitaja taja kila mara UKRITO ee UKRISTO oo!

Hebu tusaidie MAANA YA UKRISTO!

AU unaona raha tu kuitwa MKRISTO!

TAFADHALI USINIPE MAANA KUTOKA KICHWANI KWAKO!

NATAKA ANDIKO!

AU WAPI BIBLIA INASEMA" KUWENI WAKRISTO"

Maelezo meengi staki! We nipe andiko tu!

Kwa mfano Sisi waislamu tumeambiwa hivi ktk QURAAN;-

Surat Al maida 5:3

ِ ۚ الْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ وَأَتْمَمْتُ عَلَيْكُمْ نِعْمَتِي وَرَضِيتُ لَكُمُ الْإِسْلَامَ دِينًا ۚ

This day have I perfected your religion for you and completed My favour unto you, and have chosen for you as religion al-Islam.

Yaani tumeambiwa tuwe WAISLAMU!

Ntakupa dondoo kidogo!

Wafuasi wa Abraham hawakuitwa Abrahamian!

Wafuasi wa moses hawaitwi Mosesian!

Wafuasi wa david hawakuitwa Davidian!

Wafuasi wa Solomon hawakuitwa Solomian!

Na

Wafuasi wa Muhammad s.a.w hawaitwi Muhamadian!

Sasa swali linakuja!

KWA NINI WAFUASI WA JESUS CHRIST WAITWE CHRISTIAN???

AU WAPI WEWE ULIAMBIWA NA ANDIKO LAKO UWE UNAJIITA MKRISTO??

Ukijibu hili swali kwa HAKI! Utakuwa umeinusuru roho yako na moto wa jahannamu!

Ivi mbona unaishi kwa kuunga unga,hakiri yako inakutuma tena utafutiwe na kitabu 'kwa nini wafuasi wa yesu kua christian wrong kwa kua hapakua wa ibrahamian?'.YESU NA ABRAHAM NI SAWA KWA HAKILI YAKO?..
 
Last edited by a moderator:

Ivi mbona unaishi kwa kuunga unga,hakiri yako inakutuma tena utafutiwe na kitabu 'kwa nini wafuasi wa yesu kua christian was wrong kwa kua hapakua wa ibrahamian?'.YESU NA ABRAHAM NI SAWA KWA HAKILI YAKO?..
 
Ndugu nilikuwa naomba uongee kiswahili!
Kwa kweli sijakuelewa kabisa! Huenda ikawa una point muhimu unataka kuongea!
Hebu take a deep breath halafu anza tena upya kuandika!
Nakusubiri, tartibu dr usifanye haraka!
 
Sasa mbona munasema Yesu sio Isa kijana usidandie gari kwa mbele utaimbiwa "simbali karibuuu" lakini sio makosa yako huruhusiwi kuhoji kitu church na ukiuliza swali church utaambiwa kijana una pepo mbaya munapelekwa kibubusa biblia inasema musihojihojiii shindwaaa pepo:banghead::banghead:

Teh teh teh teh!

Umenivunja mbavu kufukuza pepo kwa keybord!

We Boko haram kiboko ya huyu mgalatia!

Kwi kwi kwi kwi! Bro you made my jumaa!
Bless you!
 
Last edited by a moderator:
Boys hakuna slave ambaye ana furaha..muslim wote ni abdallah....slaves of allah...tofauti na CHristians watoto wa Mungu wapo happy....muhamad aliwalaumu wakristu kuwa lifist na wenye maringo..aliwalaumu kwa kuwa wachoyo wa Injil .....
Hat hapa vijana wapo too boring with their fiddled minds..I think sihitaji hata kujadili nao kitu....ni aibu kuendelea poteza muda na hawa true slaves...sasa km wana surfer rejection ya ishmaeli, halafu dini yao pia inawatoment tena kw akuwaita slaves, halafu pia kuwafanya miserable..aisha aliwahi muuliza muhamadi kwani waumini wapo so miserable...ni wazi hawaja jamaa hawawezi badili mawimbi wala muelekeo wa jua.

Muhamad alikuwa na unique ways ya ku dela na vitu alivyovitamani kakosa, au kutaka wengine wasipate....Toys ni reserved kwa Aisha..baadaye ndio basi, muhamad wake zake hawakuatakiwa olewa mohamed akifa, mohamed ka introduce kunyw amikojo kwa mfano wake wa kijinga..kuwa watu wenye njaa walikuja wakapewa jukumu la kunywa maziwa na mkojo ,muna si mrefu wakanenepa sana....waislam kwa ujinga wakadhani kuwa walinenepa kwa mkojo na si maziwa. mkojo ulikuwa ni tabiaya waarabu ya uchoyo na roho mbaya ili wale vibarua walioomba chakula wakaishia tumikishwa na kupewa uchafu..ila kwa vile maziwa yalizidi nguvu bado wale watu afya yao haikuharibika..ila kinachonyesha kuwa walikuwa mistreated sana.Waliwaua ngamia wote na kukimbia ingawa baadae waliuwawa.Waislam wakatafsiri wrong sasa wanakunywa mikonjo wakiita dawa..ucahfu wa mkojo kuurudisha ktk ini, na figo kwa mkupuo unaweza haribu kabisa.....muhamad alidhani anaweza duplicate mfano wa mtoto wa mwenye shamba aliyeuwawa na wafanyakazi ili asiridhi shamba..na baadae mwenye shamba kuja kwa shari..kumbe kaishia semam ubaya wa waaarabu..

Ritz, mbokaleo,crabat...na wengine.... aliyejichagulia avator kubwa km ya muethiopia laiyegundua kahawa km kinywaji..baadae waislam wakajumlisha ktk uislam ili kuupaka rangi.......i think sasa mnaleta uvundo tuu..sina haja tena ya kujibizana na ..BSV..
Teh teh teh te! Ubongo wa tembo 0.15. umebakia kuropoka tu bila ushahidi wa maandiko.

Umekasirika tayari na akili imehama na umepata upenyo wa kukimbia mjadala uliouanzisha unamuacha na ukiwa Yericko, hauna hamu tena hakutegemea kukutana na hivi vichwa mbokaleo, Kikwajuni one, kimbia kamanda nenda kwenye uzi za Chadema.
 
Teh teh teh!! Huyu ubongo wake utakuwa kama wa kungunguni. 0.1g hana analolifahamu, kamanda naomba nikuulize HAKIRI ni nini?
 
Kwa mtu mwenye upeo na fikra pana, ukisoma kwa umakini maandishi ya Jan P van Bergen na John Sivalon utaona kuwa tafiti zao zilikuwa sahihi katika mapito ya Tanzania toka mikono ya Mkoloni, mikono ya Julius Nyerere na mwangaza mpya wa Tanzania hii tuionayo leo,

Tofauti na uhalisia huo, Waislamu wametohoa tafsiri yakuwa Mwalimu Nyerere ndie creator wa mfumo, kumbe alikuwa ndie destroyer
Halafu ukiitwa kauzu unakasirika ww si ulikuwa unapinga kitabu cha padri Sivallon leo unakikubali huna tofauti na mtu aliyejipaka kinyesi halafu akajipulizia perfume mara anukie vizuri mara vibaya!!!
 
Teh teh teh teh!

Umenivunja mbavu kufukuza pepo kwa keybord!

We Boko haram kiboko ya huyu mgalatia!

Kwi kwi kwi kwi! Bro you made my jumaa!
Bless you!

Pamoja mkuu hapa tutawasilimisha hawa wagala mmoja mmoja labda mods waufunge huu uzi uzuri wa sisi waislamu ni shahada tu hakuna kuzamishwa kwenye maji mengi wala kidogo mashaaalah uislam rahaaaaa.
 
Last edited by a moderator:
KUSEMA YESU N ISSA hiyo ni KUFRU tena kashfa
kubwa sana kwa Wakristo,
basi kama mnataka semeni Nabii issa sio Allah, huo ni ukweli na wala sio kashfa, lakini ukitaja Yesu sio Mungu,unakashfu, kashfa ya kwanza ni ya kumfanya issa kuwa Yesu,kashfa ya pili kumfanya Mungu kuwa Allah. Sijui kama umeelewa, ukisema nabii issa sio Allah hata kwa kuweka speaker kubwa na zenye mawimbi makubwa na yanayoenda mbali kiasi gani hutasikia mtu akikulaumu labda kwa kelele kwa kuwa hilo halina uhusiano na ukristo.

"Nampenda Yesu Kristo wenu lakini siwapendi Wakristo wenu. Na hiyo ni kwa sababu Wakristo wenu hawafanani kabisa kimatendo na Yesu Kristo wenu"~ Mahatma Gandh.

CC; mbokaleo, Kikwajuni one, Boko haram,
 
Last edited by a moderator:
Wewe kijana chamtemamoto !
umekuwa ukitaja taja kila mara UKRITO ee UKRISTO oo!

Hebu tusaidie MAANA YA UKRISTO!

AU unaona raha tu kuitwa MKRISTO!

TAFADHALI USINIPE MAANA KUTOKA KICHWANI KWAKO!

NATAKA ANDIKO!

AU WAPI BIBLIA INASEMA" KUWENI WAKRISTO"

Maelezo meengi staki! We nipe andiko tu!

Kwa mfano Sisi waislamu tumeambiwa hivi ktk QURAAN;-

Surat Al maida 5:3

This day have I perfected your religion for you and completed My favour unto you, and have chosen for you as religion al-Islam.

Yaani tumeambiwa tuwe WAISLAMU!

Ntakupa dondoo kidogo!

Wafuasi wa Abraham hawakuitwa Abrahamian!

Wafuasi wa moses hawaitwi Mosesian!

Wafuasi wa david hawakuitwa Davidian!

Wafuasi wa Solomon hawakuitwa Solomian!

Na

Wafuasi wa Muhammad s.a.w hawaitwi Muhamadian!

Sasa swali linakuja!

KWA NINI WAFUASI WA JESUS CHRIST WAITWE CHRISTIAN???

AU WAPI WEWE ULIAMBIWA NA ANDIKO LAKO UWE UNAJIITA MKRISTO??

Ukijibu hili swali kwa HAKI! Utakuwa umeinusuru roho yako na moto wa jahannamu!
Risasi ya kupigia tembo wewe unapigia nguchiro...teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Pamoja mkuu hapa tutawasilimisha hawa wagala mmoja mmoja labda mods waufunge huu uzi uzuri wa sisi waislamu ni shahada tu hakuna kuzamishwa kwenye maji mengi wala kidogo mashaaalah uislam rahaaaaa.

Naam. Uislamu raha mkuu!
Tunaendeleza daawa! Wamesilimu wale viongozi wao! Itakuwa hawa?

Ijumaa njema mkuu!
 
Ivi mbona unaishi kwa kuunga unga,hakiri yako inakutuma tena utafutiwe na kitabu 'kwa nini wafuasi wa yesu kua christian was wrong kwa kua hapakua wa ibrahamian?'.YESU NA ABRAHAM NI SAWA KWA HAKILI YAKO?..

Juu ya kutokuelewa kiti gani unasema hapo juu!
Kwa sababu unajiita doctor mi ntakuuliza swali moja tu!
WEWE UNAWEZA KUNIONYESHA ANDIKO LILILOSEMA KUWA "KUWENI WAKRISTO!" AU "UKRISTO NDIO IMANI YA KUFUATA" AU MKITAKA KUINGIA MBINGUNI BASI MUWE WAKRISTO!
AU YESU ANAWAAMBIA NYIE MUWE WAKRISTO!

Ni hilo tu doctor!!
 
Hivi ugomvi hapa ni nini? Kwamba kuna mfumo Kristo unaopambana na uislamu? Na nani anawafanikishia mapambano hayo? Na hapo Mungu yuko wapi, au upande wa nani? Au kuna miungu wawili wanapambana, kila mmoja na mfumo wake? Pengine mnavamia maugomvi ya miungu ambayo haiwahusu?
 
"Nampenda Yesu Kristo wenu lakini siwapendi Wakristo wenu. Na hiyo ni kwa sababu Wakristo wenu hawafanani kabisa kimatendo na Yesu Kristo wenu"~ Mahatma Gandh.

CC; mbokaleo, Kikwajuni one, Boko haram,

Teh teh teh! Mkuu Ritz umeibuka na mpini mtakatifu huu!

Huyu mlevi Nicholas hajaamka!
Na yule kibarua Yericko Nyerere yuko mzigoni!
Wakitoka huko!
Teh teh teh teh!
Povu laaazima wamwage hapa!

Ijumaa njema mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya Mungu hayahitaji kujadiliwa kwa matusi ndugu yangu. Ukiona matusi yanakuja mbele utukane basi ujue bwana wako unayemtumikia ana kasoro. Mungu ni mpole lakini ana wivu ulao moto. Upole wake ndio unaokufanya wewe pia uishi kwa neema pamoja na mimi na yule. Asiyependa kukusanya kwa upole hutawanya kwa matusi. Mungu (Yule aliye Hai na sio mwingine) na akujalie kufunguka macho ya rohoni uipate hekima ya kutafakari kabla ya kunena, maana huenda unacho kitu cha kuwapa watu katika mawazo yako, lakini roho ya kukataliwa inakusumbua. Unahitaji kuombewa kwa Jina la Yesu unayemchafua kwa maneno yako.

.......waliomchafua ni wale waliomuwamba msalabani bila nguo huku wakimkejeli na kumtemea mate !

Sisi Waislaam, tunamtetea Yesu kuwa aibu ile haikumfika !

:nono:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom