Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Afadhali ya wewe umekubali kuwa hulijui ulitendalo!
Sasa hawa mwenzako Eiyer Nicholas na Yericko Nyerere wanadhani wanajua walitendalo lkn wakipigwa maswali na wasomi kama kina Ritz Boko haram Kikwajuni one crabat Tayeb Gavana na wengineo wengi!
Wanaruka kama wamekanyaga moto!
Na kuanza kutukana!
Shida ni sauti mnazosikia kutoka kwa majinn zikiwanong`oneza ..ili msiondoke kwai yalishaona kuwa mkiendelea soma kwa makini tukiandikacho watakosa damu.......mnajipa moyo huku hamjajibu mengi tuu ya maswali yangu humu...tatizo kila kitu chenu ni BSV
Sasa mi nakukaribisha ktk uislamu ndugu!
manake NI WAISLAMU PEKE YAO WANAOJUA WALIFANANYALO!
NA NDIO DINI YA HAKI ISIOKALIWA KIKAO DODOMA!
NJOO NDUGU UPATE MANUFAA NA RADHI ZA MUNGU WA PEKEE ALIYEKUUMBA!
MUNGU ASIYE NA MWANA.
MUNGU AMBAE HAKUZAA WALA HAKUZALIWA.
MUNGU MFALME WA KILA KITU NA NDIE MUNGU WA ABRAHAM. MOSES. SOLOMON.DAVID. JOHN JESUS NA MUHAMMAD (amani ya MUNGU iwe juu yao wote hao manabii wake)
KARIBU SANA NDUGU Kidzude
Mgejua mlifanyalo msingekuwa mnakurupuka kwenda ua kwa issue za watoto.mngekuwa mnajua mulitendalo leo mngeakuwa hamtumiwi na majinn..unless mtuambie uchawi na majii mmeachagua kwa nia thabiti.....ila tu shida ni kwamba shetani si wa kuabudu hadharani na hivyo kuwawia ngumu sana kukubali vitu fulani....
Kwanza hadithi zimajaa matusi ya muhamad...ndio maana hadi leo matusi na waislam ni damudamu...
Manabii hawahitaji tena amani.....aman mnahitaji nyie kenge..