Utafiti-internet yapunguza nguvu za uzazi.

Hahahaha! Nikivunjika mbavu utanipeleka india ujue, lol
Swahiba hii ni hatari kweli yaani unakuwa una two in one ngoja niongee na jamaa waanze kufanya utafiti wa kutengeneza laptop special kwa wanaume na wanawake tu yaani mwanamke akigusa laptop ya mwanaume anakuwa na hormones za kiume na mwanamme akugusa ya mwanamke anakuwa na hormones za kike aisee patachimbika hapo swahiba
 
Nilidhani inapunguza nguvu za kiume; kumbe za uzazi; wengine tulishamaliza kuzaa; ntamwambia honey awe anatumia laptop kwa sana itasaidia uzazi wa mpango.

 
We unaona raha kuwatisha wenzio? Gazeti la uhuru na waandishi wake unawaamini wewe,
Angalia TBC cm wanavyogeuza habari kama watizamaji ni mazezeta na we unasoma uhuru unataka tukuamini?
Ushindwe na Ulegee kwa jina lipitalo majina yote la YESU KRISTO,
 
Mbegu za wabongo sio rojorojo ziko strong mpaka zinarepel magnet!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…