Utafiti-internet yapunguza nguvu za uzazi.

Utafiti-internet yapunguza nguvu za uzazi.

Hahahaha! Nikivunjika mbavu utanipeleka india ujue, lol
Swahiba hii ni hatari kweli yaani unakuwa una two in one ngoja niongee na jamaa waanze kufanya utafiti wa kutengeneza laptop special kwa wanaume na wanawake tu yaani mwanamke akigusa laptop ya mwanaume anakuwa na hormones za kiume na mwanamme akugusa ya mwanamke anakuwa na hormones za kike aisee patachimbika hapo swahiba
 
Nilidhani inapunguza nguvu za kiume; kumbe za uzazi; wengine tulishamaliza kuzaa; ntamwambia honey awe anatumia laptop kwa sana itasaidia uzazi wa mpango.

wanayasansi toka marekani na Argentina wamefanya utafiti na umeonyesha kuwa Mtandao wa internet kwenye komputa za mkononi"Wirele7 internet" kwenye laptop,Una madhara kwa viungo vya uzazi.
Timu ya wanasayansi kutoka Taasisi ya Nascentis Center For Reproductive medicine iliyopo Cordoba,,Argentina kwa kushirikiana na wanasayansi wa Marekan wa Taasisi ya Eastern Virginia Medical school.

Watakao athirika zaidi ni Wale wenye tabia za kuweka laptop kwenye Mapaja.
Mbegu za Mwanaume huaribika kwa Electromagnet zinazotolewa na Wireles internet.
Source. Kimataifa-uhuru
 
We unaona raha kuwatisha wenzio? Gazeti la uhuru na waandishi wake unawaamini wewe,
Angalia TBC cm wanavyogeuza habari kama watizamaji ni mazezeta na we unasoma uhuru unataka tukuamini?
Ushindwe na Ulegee kwa jina lipitalo majina yote la YESU KRISTO,
 
Mbegu za wabongo sio rojorojo ziko strong mpaka zinarepel magnet!
 
Back
Top Bottom