Utafiti: Jamiiforums mtandao wenye watumiaji wachoyo wa likes

Mkuu some likes are not cheap to that extent....................USHAWISHI WA HOJA NI MUHIMU
 
Kama ingekuwa unapewa jero kwa kila like 1, watu tungetoana ngeu humu ndani.

Mtoa mada hizo likes zinakusaidiaje
 
NA WEWE UNAJIKUTA SUPER STAR ILI UPEWE LIKES EEE...bahati mbaya hapa JF hamna cha u-supastaa
 
Sometimes si uzito wa hoja ndio unaotoa likes, unaweza kuta mtu ameeandika ujumbe nzuri tu asipate likes hata moja, ila ukiandika tu Bashite likes 40. Ukitaka kupata likes nyingi tukana serikali maana memba wengi wapo upande huo
sidhani kama kuna mtu alishawahi kutukana na monds wakamuacha hivihivi.
 
Kitufe cha like kiondolewe na badala yake waweke Option ya D/U vote, hapo watakuwa wamerahisha mambo ..
 
FB ,insta na taka taka nyingine wanajazana ujinga tu ,chochote utachokipost utapokea likes za kutosha lakini humu jf mtu ukipokea nyingi labda likes 30 mpaka 50 ila juu ya hapo aisee inakuwa ni vigumu sana.
 
Mimi napenda kuangalia viewers na reply wala sio likes
 
ishi maisha yako tu kuna vitu vingine hata siyo vya kukipa kichwa mawazoo ndo maana most of intellectual hawatumii hivi vitu wanaishi maisha yao #no stress za et leo nitapata likes ngapii hilo halina nafasi kwa mtu anayejielewa kama ipo ipo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…