youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
- Thread starter
- #41
Yan et na comment yako inalikes sawa ya thread hii hatar sanaNasapoti mada, utaona komenti hii itakavyokosa like.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan et na comment yako inalikes sawa ya thread hii hatar sanaNasapoti mada, utaona komenti hii itakavyokosa like.
Lemme go and check via webLikes zipo nyingi,ila kwenye app unaziona mwisho 5 tu, mfano hii post yako ina likes 17, utaziona ukiingia kupitia browser ial kupitia app utaziona 5 tu
sidhani kama kuna mtu alishawahi kutukana na monds wakamuacha hivihivi.Sometimes si uzito wa hoja ndio unaotoa likes, unaweza kuta mtu ameeandika ujumbe nzuri tu asipate likes hata moja, ila ukiandika tu Bashite likes 40. Ukitaka kupata likes nyingi tukana serikali maana memba wengi wapo upande huo
We jaribu tu kuikashifu na kuitukana serikali uione kama hutopata likes 3000sidhani kama kuna mtu alishawahi kutukana na monds wakamuacha hivihivi.
FB ,insta na taka taka nyingine wanajazana ujinga tu ,chochote utachokipost utapokea likes za kutosha lakini humu jf mtu ukipokea nyingi labda likes 30 mpaka 50 ila juu ya hapo aisee inakuwa ni vigumu sana.Kulingana na uwepo wa mitandao mingi yenye kitufe cha kutoa likes, JamiiForums ikiwa miongon mwao , japokuwa inanjia rahisi ya kutoa likes kwa wanaocomment na kushare vitu vya msingi, lakini mara nying mwenye likes nyingi ni 5 tu
Hii inaonesha ni kwakiasi gan watumiaji wamekuwa wavivu wa kusoma comments za wenzao na kuwapongeza , imefikia hatua mpaka watu wanaomba kupewa likes
Tujivunie social media yetu jaman , ngoga likes tembea
Hilo tatizo lipo mda kidogo kwenye app ya jf kuna kipindi mods waliambiwa kwenye uzi fulani hiviLemme go and check via web