Utafiti: Je, ni umri gani sahihi wa mtu kuitwa mzee?

Utafiti: Je, ni umri gani sahihi wa mtu kuitwa mzee?

Kwanza lazma tutambue ni umri gani sahihi wa kua mzee bila kujali upo katika hali gani
Kujijua ni rahisi sana!
Angalia wale uliokuwa unawaamkia wako wapi?
Unaamkiwa ww tu, hadi unaona utoe nuksi umwamkie mkeo naye anakausha [emoji56]
 
Kujijua ni rahisi sana!
Angalia wale uliokuwa unawaamkia wako wapi?
Unaamkiwa ww tu, hadi unaona utoe nuksi umwamkie mkeo naye anakausha
emoji56.png
uzee ni neno tu ila kiuhalisia uzee unaanza 40 yrs na huu ndo ukweli ujana unaisha 35 hata kwenye mpira mwisho miaka 35 hadi 40.
Sawa nakubaliana na wewe kwahyo MTU akifika miaka 40 tunahaki ya kumwita mzee
 
Mzee ni mtu aliyeishi miaka mingi baada ya kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom