UTAFITI: Juma Nature alikuwa maarufu wakati wake zaidi ya Diamond Alivyo maarufu kwa wakati wake

UTAFITI: Juma Nature alikuwa maarufu wakati wake zaidi ya Diamond Alivyo maarufu kwa wakati wake

Mziki ni biashara, wengi wanashindwa kuelewa; ili wewe ule hakikisha na mimi nakula kwanza, usitegemee kipaji tu kikufikishe mbali; wasanii wafunguke watu waweke hisa
 
Yaani diamond unamfananisha na watu wa ovyo mibangi hawana muonekano wa usanii kama juma nature hawajui kuvaa jieshimu na takwimu zako unachukua kweny vibanda vya gongo na mapusha
 
Utafiti huru ulofanyika Twitter kwa siku 5 mfululizo ambao uliuliza:

Kati ya wasanii wafuatao, nani alikuwa maarufu zaidi au nani kawa maarufu zaidi kwa muda aliowika?

Na matokeo yakawa high. Kura zimepigwa 3,000 kwa siku 5.

Mr Nice 23%
Juma Nature 33%
Ali Kiba 15%
Diamond 30%

View attachment 1264071


Pitia Pia



Itakusaidia nini?
 
Usimfananishe Diamond platinumz na juma nature unakosea,diamond ni mbingu na nature ni ardhi.

Hebu angalia mipaka ya umaarufu?
Inatakiwa uwe specific huo umaarufu ni katika eneo gani?

Kibongo bongo?
Afrika mashariki?
Africa?
Au duniani kote?

Diamond platinumz ni maarufu duniani kote
na wakati hao kina juma nature na wenzie ilikuwa ni bongo tu na Africa mashariki Yaani Kenya na Uganda.

Acha kumdhalilisha Diamond na hao wababaishaji wa Kibongo bongo.
Exactly.
 
Comparing the fame of Juma Nature and Diamond platinumz is like comparing heaven and earth pls Mr Brittanica don't do this another time diamond has made our music popular beyond Tanzania and he is going to be real legend of this music and a person to be remembered when he retired.
 
Back
Top Bottom