Juma Nature,Sir nature Nature a.k.a Msitu wa vina.Kwa Mimi binafsi niliyeshuhudia ubora wake kwangu atabaki kuwa mmoja wa wasaniii Bora kuwahi kutokea katika nchi yetu.mpaka sasa nasikiliza na kucheza nyimbo zake na zote alizoshirikishwa na ubaya wake ukimshirikisha lazima akufunike.sikiliza OCG ft Juma Nature unaitwa akwelina,Rich One ft Juma Nature unaitwa hatuna kitu,Mike T ft Juma Nature unaitwa nakupenda,Unga Robo,Mzee wa Busara,Sonia,Sitaki Demu,Inaniuma sana,Kisa Demu, msela(huyu akitakiwa apewe heshima yake kumlinganisha na yoyote humtendei haki hasa hawa vijana wadogo)...ukisikiliza nyimbo za Juma Nature,Rashid Makwilo a.k.a Chidi Benzi,Juma Mchopanga a.k.a Jay Moe,Albert Mangwea a.k.a Mimi,Prof Jay,Solo Thang,Fid Q na wengine nitawataja hapo baadae.ndio wasaniii Bora kwa kizazi changu