Hebu nitajie mfumo rasmi unao simamia mziki Tanzania? au chombo rasmi kinachosimamia mziki Tanzania ambacho kinaweza kukupa data kuhusiana na maswala ya mziki wa Tanzania?
Kenya wenzetu wana mifumo rasmi ya kusimamia mziki wao ,wana chombo cha kusimamia malipo ya msanii kulipwa endapo nyimbo ikipigwa redioni MSCK.
2015 kupitia report za MSCK Mondi aliingiza Ksh 350,000 za kenya (Tsh 7000000 million) ndani ya miezi mitatu na mwaka uliofuatia Kenya waka implement 60% (Local content) 40%(Foreign content) na pamoja na hiyo ratio bado Mondi anakimbiza.Sasa hiyo 2015 je sasa hivi 2019 itakuwaje?
Karibia digital platforms zote zinazouza mziki Kenya Zipo .Wana mpaka kampuni za kufanya research ktk entertainment industry mwaka jana kuna kampuni ya 8020 ilifanya Research based on 2018 Kenya msanii anayeongoza kwa mauzo kwenye digital platform,streaming,airtime kwenye redio,viewers za Youtube ni Diamond (Najua humpendi).
Diamond Platnumz is the most popular Tanzanian artist in Kenya according to a new research ...
www.kenyanvibe.com
Na wakatoa picha jinsi jamaa anavyo dominate,sasa hapo ni mwaka jana alikaa mwaka mzima hajatoa nyimbo na akaburuza,je mwaka huu ana utitiri wa nyimbo.
Bongo tulikuwa na chombo kama
MSCK kilikuwa kinasimamiwa na P Funky Majani watu wamekipiga majungu kimekufa.