Utafiti kwa wanaume wa Dar

Utafiti kwa wanaume wa Dar

Nimekuwa naona mada nyingi kuwahusu hawa ndugu zetu wa Dar, niliamua kufanya utafiti binafsi kutoka vyanzo mbalimbali na sasa ninatoa machache huku nikiendelea kukamilisha utafiti kwa mambo hasa yale ya chumbani. Utafiti wangu nimeanzia katika namna wanaume wa Dar au hata wanawake walivyo wavivu kutamka au kuandika baadhi ya herufi hasa "H"na kutulazimisha tuwaelewe kwa makosa yao.
Mfano:-

Mahusiano - Mausiano
Mahaba - Maaba
habari - Abari
Tahadhari- Taazari
Kwakua utafiti unaendelea tafadhali ongeza ulijualo juu ya hawa ndugu zetu.
Kwa wale mlioguswa msisite kutukana maana ni kipengele katika utafiti wangu.
Watu wengi wa bara ndio Wana matatizo hayo. Itakuwa wamehama na Kuja pwani teh teh. Pwani kiswahil ndio kwao bana.....
 
Back
Top Bottom