The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Pole mkuu. Kwani wewe unaishi dar?
mimi niko Mara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu. Kwani wewe unaishi dar?
Watu wengi wa bara ndio Wana matatizo hayo. Itakuwa wamehama na Kuja pwani teh teh. Pwani kiswahil ndio kwao bana.....Nimekuwa naona mada nyingi kuwahusu hawa ndugu zetu wa Dar, niliamua kufanya utafiti binafsi kutoka vyanzo mbalimbali na sasa ninatoa machache huku nikiendelea kukamilisha utafiti kwa mambo hasa yale ya chumbani. Utafiti wangu nimeanzia katika namna wanaume wa Dar au hata wanawake walivyo wavivu kutamka au kuandika baadhi ya herufi hasa "H"na kutulazimisha tuwaelewe kwa makosa yao.
Mfano:-
Mahusiano - Mausiano
Mahaba - Maaba
habari - Abari
Tahadhari- Taazari
Kwakua utafiti unaendelea tafadhali ongeza ulijualo juu ya hawa ndugu zetu.
Kwa wale mlioguswa msisite kutukana maana ni kipengele katika utafiti wangu.
Ha,ha,haaa...sawa Bossmimi niko Mara