UTAFITI: Makosa ya Lugha kupitia BBC SWAHILI

Soma tena wewe mtaalamu wa kiswahili, nawe umekosea pia.
 
BBC hawaandiki habari Kwa kiswahili, wao huandika habari Kwa kiingereza Kisha mashine zinabadili taharifa hiyo Kwenda lugha zote kuu Duniani, hapo tatizo lipo kwenye translators zao.
Sio kweli,bbc swahili ina watu wanaofanya kazi ya kutafsiri habari zao.Mfano habari inayohusu man city na mbio zao za ubingwa imetafsiriwa na Seif Abdallah.Makala ya juzi inayohusu faida za chai imetafsiriwa na Lizzy Masinga.
Pia kuna wahariri wanaopitia habari na makala kabla hazijatolewa.
 
BBC wansema ni Idha ya Kiswahili. kwa hivyo wakitumie kiswahili vizuri
 
Kuna hivi vifungashio vya bidhaa mbalimbali ambazo zinatengenezwa nchi jirani kama Zambia, Afrika kusini, Kenya, Uganda nk.
Wanatumia lugha ya kiswahili lakini sio fasaha na haileti maana ukisoma.
Kwanini wasi wasiliane na mamlaka husika au kupata mtafsiri awe anatoa tafsiri halisi ya maelezo yao kwenye vifungashio vya bidaa zao.
Niliwahi jaribu kuwaandikia email na kuwaonyesha jinsi ambavyo wametumia lugha lakini haileti maana ipasavyo lakini hawajajibu.
Mfano maziwa ya Parmalat ya Afika kusini na bidhaa za Trade kings companies za Zambia na Kusini mwa afrika kiujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…