sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
Kwa mujibu wa tafiti ni kwamba;Kama umeshiriki tendo la ndoa na zaidi ya watu 8 tofauti,huna haki ya kuita kiungo hicho SEHEMU ZA SIRI bali ni mali ya UMMA chini ya Wizara ya Utalii na Burudani.
Kama ni zaidi ya 10 basi ni mali ya UMOJA WA MATAIFA kitengo cha misaada. Zaidi ya 15 unastahili kufikishwa mahakama kuu kwa matumizi mabaya ya neno SEHEMU ZA SIRI.
Wewe umetumia mara ngapi?
Kama ni zaidi ya 10 basi ni mali ya UMOJA WA MATAIFA kitengo cha misaada. Zaidi ya 15 unastahili kufikishwa mahakama kuu kwa matumizi mabaya ya neno SEHEMU ZA SIRI.
Wewe umetumia mara ngapi?