sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
unajifanya hujui wakati kila siku tuko pamoja, umeniganda kama lubi....hahahahaaaaa .......watu wengine kujitoa ufahamu!
Hahahahaaa,kwa hiyo kesi yako iko Umoja wa Mataifa pamoja na ile ya Uhuru Kenyatta?
Hapa nahisi hakuna mahakama itakayokuwa na uwezo wa kusikiliza kesi yangu maan ni zaidi ya kiwango kilichoainishwa.
watuhumiwa wasingetosha magereza
hasa wanaume na machangu!!
Sasa hao wanaume wanakuwaga na akina nani?! Passion Lady ebu wewe sema binafsi mara ngapi?!