Utafiti Mpya: Uislamu Unakua kwa Kasi Ukristo Unapungua

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
796
Reaction score
707
Utafiti umefanywa na kituo cha utafiti cha Pew.

View: https://youtu.be/BW2vSfYCpH8?si=n9QBPY-e4wkvzRtY
Idadi ya waislamu imeongezeka kwa wafuasi milioni 347, ikizishinda dini nyingine zote kwa pamoja. Ukuaji wa uislamu umepanda kwa 25.6%. Sasa kuna wakristo bilioni 2.3 na waislamu bilioni 2. Zaidi sikiliza video hapo juu.

Bet kistaarabu, epuka tamaa na pata ushindi katika kila mkeka, jiunge katika group letu la Normal Bet 2 Odds kwa Kugusa Hapa.
 
Hakika siku za Mwisho watu watamuacha MUNGU WA UKWELI NA KUFUATA MUNGU WA HADITHI nadharia kwahiyo ni kawaida lakini hatuna budi kuwafundisha watoto na ndugu zetu kuwa wapuze mambo ya kishetani...
 
OK je hii Ina maslahi yoyote kwetu ama kwa taifa?
Kwa kujua kwamba dini fulani inakua kwa kasi, huenda ikaisaidia serikali kupanga vyema vipaumbele vyake na kusisitiza mno suala la kuvumiliana katika imani.

Kwa wafanya biashara, nadhani ni muda sasa wa kuongeza idadi ya kanzu, vibaraghashia na abaya.

Ipo faida.
 
Utafiti umefanywa na kituo cha utafiti cha Pew.

View: https://youtu.be/BW2vSfYCpH8?si=n9QBPY-e4wkvzRtY
Idadi ya waislamu imeongezeka kwa wafuasi milioni 347, ikizishinda dini nyingine zote kwa pamoja. Ukuaji wa uislamu umepanda kwa 25.6%. Sasa kuna wakristo bilioni 2.3 na waislamu bilioni 2. Zaidi sikiliza video hapo juu.

Bet kistaarabu, epuka tamaa na pata ushindi katika kila mkeka, jiunge katika group letu la Normal Bet 2 Odds kwa Kugusa Hapa.

Ukiwa mkristo na unataka kubadili dini kuwa muislam. Waislam wanakuchangia hela ya posa, wanakulipia kodi ya nyumba, wanagharamia sherehe nzima ya ndoa (harusi).

Wakati wakifanya hayo, kanisa la Gwajima linafungiwa. Waumini wanapata bumbuaz hawajui pa kwenda.
 
Utafiti umefanywa na kituo cha utafiti cha Pew.

View: https://youtu.be/BW2vSfYCpH8?si=n9QBPY-e4wkvzRtY
Idadi ya waislamu imeongezeka kwa wafuasi milioni 347, ikizishinda dini nyingine zote kwa pamoja. Ukuaji wa uislamu umepanda kwa 25.6%. Sasa kuna wakristo bilioni 2.3 na waislamu bilioni 2. Zaidi sikiliza video hapo juu.

Bet kistaarabu, epuka tamaa na pata ushindi katika kila mkeka, jiunge katika group letu la Normal Bet 2 Odds kwa Kugusa Hapa.

Lakini wanaongezeka kwa idadi ya waislam pekee,siyo kwa ushawishi au kujipanga kitaasisi.
 
Utafiti umefanywa na kituo cha utafiti cha Pew.

View: https://youtu.be/BW2vSfYCpH8?si=n9QBPY-e4wkvzRtY
Idadi ya waislamu imeongezeka kwa wafuasi milioni 347, ikizishinda dini nyingine zote kwa pamoja. Ukuaji wa uislamu umepanda kwa 25.6%. Sasa kuna wakristo bilioni 2.3 na waislamu bilioni 2. Zaidi sikiliza video hapo juu.

Bet kistaarabu, epuka tamaa na pata ushindi katika kila mkeka, jiunge katika group letu la Normal Bet 2 Odds kwa Kugusa Hapa.

No reform no election
 
Kwa hiyo?
 
Hata Biblia inakiri hivyo kwamba wanaoenda upotevuni ni wengi kuliko wanaoenda uzimani.
 
Kwa kujua kwamba dini fulani inakua kwa kasi, huenda ikaisaidia serikali kupanga vyema vipaumbele vyake na kusisitiza mno suala la kuvumiliana katika imani.

Kwa wafanya biashara, nadhani ni muda sasa wa kuongeza idadi ya kanzu, vibaraghashia na abaya.

Ipo faida.
Hapana havina mahusiano kabisa
 
wanazaa kama simbilisi.
wametoa na sababu kuwa converts kutoka ukristo kwenda uislamu zimekuwa nyingi kuliko dini yoyote nyingine na Hawa researchers ni taasisi maarufu ya kimatatifa ya marekani
 
Mada za kila siku hizo utazani unatangaza idadi ya mifugo kuwa kwa wingi.Hapo unajiona umeburudika kuwa ndio maendeleo au mungu kuwa karibu.wenzako wanawaz nchi zinaweza kuwa na nguvu ya jeshi na maendeleo we unawaza kukua dini
 
Back
Top Bottom