Abtali Mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 796
- 707
Kwa kujua kwamba dini fulani inakua kwa kasi, huenda ikaisaidia serikali kupanga vyema vipaumbele vyake na kusisitiza mno suala la kuvumiliana katika imani.OK je hii Ina maslahi yoyote kwetu ama kwa taifa?
Ukiwa mkristo na unataka kubadili dini kuwa muislam. Waislam wanakuchangia hela ya posa, wanakulipia kodi ya nyumba, wanagharamia sherehe nzima ya ndoa (harusi).Utafiti umefanywa na kituo cha utafiti cha Pew.
View: https://youtu.be/BW2vSfYCpH8?si=n9QBPY-e4wkvzRtYIdadi ya waislamu imeongezeka kwa wafuasi milioni 347, ikizishinda dini nyingine zote kwa pamoja. Ukuaji wa uislamu umepanda kwa 25.6%. Sasa kuna wakristo bilioni 2.3 na waislamu bilioni 2. Zaidi sikiliza video hapo juu.
Bet kistaarabu, epuka tamaa na pata ushindi katika kila mkeka, jiunge katika group letu la Normal Bet 2 Odds kwa Kugusa Hapa.
Lakini wanaongezeka kwa idadi ya waislam pekee,siyo kwa ushawishi au kujipanga kitaasisi.Utafiti umefanywa na kituo cha utafiti cha Pew.
View: https://youtu.be/BW2vSfYCpH8?si=n9QBPY-e4wkvzRtYIdadi ya waislamu imeongezeka kwa wafuasi milioni 347, ikizishinda dini nyingine zote kwa pamoja. Ukuaji wa uislamu umepanda kwa 25.6%. Sasa kuna wakristo bilioni 2.3 na waislamu bilioni 2. Zaidi sikiliza video hapo juu.
Bet kistaarabu, epuka tamaa na pata ushindi katika kila mkeka, jiunge katika group letu la Normal Bet 2 Odds kwa Kugusa Hapa.
No reform no electionUtafiti umefanywa na kituo cha utafiti cha Pew.
View: https://youtu.be/BW2vSfYCpH8?si=n9QBPY-e4wkvzRtYIdadi ya waislamu imeongezeka kwa wafuasi milioni 347, ikizishinda dini nyingine zote kwa pamoja. Ukuaji wa uislamu umepanda kwa 25.6%. Sasa kuna wakristo bilioni 2.3 na waislamu bilioni 2. Zaidi sikiliza video hapo juu.
Bet kistaarabu, epuka tamaa na pata ushindi katika kila mkeka, jiunge katika group letu la Normal Bet 2 Odds kwa Kugusa Hapa.
Kwa hiyo?Utafiti umefanywa na kituo cha utafiti cha Pew.
View: https://youtu.be/BW2vSfYCpH8?si=n9QBPY-e4wkvzRtYIdadi ya waislamu imeongezeka kwa wafuasi milioni 347, ikizishinda dini nyingine zote kwa pamoja. Ukuaji wa uislamu umepanda kwa 25.6%. Sasa kuna wakristo bilioni 2.3 na waislamu bilioni 2. Zaidi sikiliza video hapo juu.
Bet kistaarabu, epuka tamaa na pata ushindi katika kila mkeka, jiunge katika group letu la Normal Bet 2 Odds kwa Kugusa Hapa.
Punguza hasira.Kwa hiyo?
Hata Biblia inakiri hivyo kwamba wanaoenda upotevuni ni wengi kuliko wanaoenda uzimani.Utafiti umefanywa na kituo cha utafiti cha Pew.
View: https://youtu.be/BW2vSfYCpH8?si=n9QBPY-e4wkvzRtYIdadi ya waislamu imeongezeka kwa wafuasi milioni 347, ikizishinda dini nyingine zote kwa pamoja. Ukuaji wa uislamu umepanda kwa 25.6%. Sasa kuna wakristo bilioni 2.3 na waislamu bilioni 2. Zaidi sikiliza video hapo juu.
Bet kistaarabu, epuka tamaa na pata ushindi katika kila mkeka, jiunge katika group letu la Normal Bet 2 Odds kwa Kugusa Hapa.
Hapana havina mahusiano kabisaKwa kujua kwamba dini fulani inakua kwa kasi, huenda ikaisaidia serikali kupanga vyema vipaumbele vyake na kusisitiza mno suala la kuvumiliana katika imani.
Kwa wafanya biashara, nadhani ni muda sasa wa kuongeza idadi ya kanzu, vibaraghashia na abaya.
Ipo faida.
wanazaa kama simbilisi.Nadhani ni kwasababu ya kuoa wake wengi na kuzaliana.
wametoa na sababu kuwa converts kutoka ukristo kwenda uislamu zimekuwa nyingi kuliko dini yoyote nyingine na Hawa researchers ni taasisi maarufu ya kimatatifa ya marekaniwanazaa kama simbilisi.
Siku zote nafahamu wewe ni mtu makini. Ila 'reply' hii inanifanya sasa nianzie kufikiria mara mbili.Hapana havina mahusiano kabisa
Hakuna shida kabisa juu ya hilo wala usitie shakaSiku zote nafahamu wewe ni mtu makini. Ila 'reply' hii inanifanya sasa nianzie kufikiria mara mbili.