Hahahahahahaha ohooooDuh ata kujamba unataka upewe pole wewe
Karibu kanda ya Ziwa.Kweli kabisa
Wasukuma wanaongoza Ni ndoto ya kila mwanamke kuolewa na msukuma.hata Mimi natamani basi tu nimekosa
Wakurya
Wagita
Wanyamwezi sio sana maana wapo kiswahili sana kama wazaramo halafu sio wachapakazi.
Wahaya hao wanawezana wenyewe.
Sijawai kuonja govi hebu nitumie nione%kubwa ya watu wa kanda ya ziwa ni magovi alafu wapenda sifa sanaaa
Utafiti mpya unaonyesha kua wanaume wa kanda ya ziwa hupewa kipaumbele kikubwa na sehemu kubwa ya wanawake wa Tanzania. Utafiti huu unafanywa na taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na mambo ya kijamii, utafiti huu utachapishwa hivi karibuni kwenye magezati na mitandao ya kijamii. Mimi natoa tips tu.
Katika utafiti huo zaidi ya wanawake 3000 kutoka mikoa mbali mbali na makundi mbali mbali ya umri wanasema wangependelea kuolewa na wanaume wa kanda ya ziwa.
Sababu kubwa wanazotaja wanawake hao ni kua wanaume wa kanda ya ziwa wako masculine, physique zao zinavutia wakimaanisha wana miili ya kiume. Wanawake wengi walidai kua wanaume wengi wa kanda ya ziwa ni wapole, wastaarabu na pia ni wahongaji wazuri. Hili la kuhonga vizuri lilisemwa na wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao, aanasema mwanaume msukuma au mkurya akienda hana muda wa kunegotiate, akiambiwa 50 yeye anatoa bila shida anapiga kazi yake anaondoka lakini wahaya walionekana kua sio watoaji wazuri na wengine walifikia hatua ya kusema mhaya anaweza kutapeli mbunye, ila kwa ujumla kanda ya ziwa inaongoza kwenye huo utafiti ikifatiwa na wanaume wa nyanda za juu kusini.
Wanaume wa kanda ya kasikazini kwenye kipengele cha mapenzi walionekana wa mwisho kuanzia kuhonga, kubembeleza na kujali. Wanaume wa kanda ya pwani wamekua wa mwisho kwenye overal. Maneno mengi hakuna kitu.
Utafiti huo utachapishwa hivi karibuni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatimae Wasukuma Tumeonwa
Unataka kaswende na gonorea weweSijawai kuonja govi hebu nitumie nione
first lady kahusika kwenya kuhojiwa?Utafiti mpya unaonyesha kua wanaume wa kanda ya ziwa hupewa kipaumbele kikubwa na sehemu kubwa ya wanawake wa Tanzania. Utafiti huu unafanywa na taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na mambo ya kijamii, utafiti huu utachapishwa hivi karibuni kwenye magezati na mitandao ya kijamii. Mimi natoa tips tu.
Katika utafiti huo zaidi ya wanawake 3000 kutoka mikoa mbali mbali na makundi mbali mbali ya umri wanasema wangependelea kuolewa na wanaume wa kanda ya ziwa.
Sababu kubwa wanazotaja wanawake hao ni kua wanaume wa kanda ya ziwa wako masculine, physique zao zinavutia wakimaanisha wana miili ya kiume. Wanawake wengi walidai kua wanaume wengi wa kanda ya ziwa ni wapole, wastaarabu na pia ni wahongaji wazuri. Hili la kuhonga vizuri lilisemwa na wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao, aanasema mwanaume msukuma au mkurya akienda hana muda wa kunegotiate, akiambiwa 50 yeye anatoa bila shida anapiga kazi yake anaondoka lakini wahaya walionekana kua sio watoaji wazuri na wengine walifikia hatua ya kusema mhaya anaweza kutapeli mbunye, ila kwa ujumla kanda ya ziwa inaongoza kwenye huo utafiti ikifatiwa na wanaume wa nyanda za juu kusini.
Wanaume wa kanda ya kasikazini kwenye kipengele cha mapenzi walionekana wa mwisho kuanzia kuhonga, kubembeleza na kujali. Wanaume wa kanda ya pwani wamekua wa mwisho kwenye overal. Maneno mengi hakuna kitu.
Utafiti huo utachapishwa hivi karibuni.
Basi ngoja nikuandalie mtoko ili nao uwajue.Sijawahi kudate na msukuma ila WAKURYA nawakubali kila siku yani.
Yap wana adabu kweli yani!!Kuna member humu alikuja kutafuta mme ila kigezo kikubwa usiwe unatokea kanda yaziwa Sasa haka kautafiti kako banaa kwajf naona hakana mashiko maana sijawahi sikia Kuna member anatafuta mme nakigezo chake kikawa umetokea kanda yaziwa.
NB: Wanaume wakanda yaziwa hawana dili sana ila wanawake wao ndio dili mkuu
Hapo kwa wahaya umepatiaKweli kabisa