Utafiti mpya: Wanawake wengi wa Kitanzania hutamani kutoka na wanaume wa kanda ya ziwa kama chaguo lao la kwanza.

Utafit mwingine utakao kuja, utahusu wanaume wengi wa kanda ya ziwa kupenda kutoka na wanawake wa kaskazini, kwasababu wanawake wengi wa kaskazin ni weupe.
 
Kweli kabisa
Wasukuma wanaongoza Ni ndoto ya kila mwanamke kuolewa na msukuma.hata Mimi natamani basi tu nimekosa
Wakurya
Wagita
Wanyamwezi sio sana maana wapo kiswahili sana kama wazaramo halafu sio wachapakazi.
Wahaya hao wanawezana wenyewe.
Karibu kanda ya Ziwa.
Karibu Usukumani
 
%kubwa ya watu wa kanda ya ziwa ni magovi alafu wapenda sifa sanaaa
 
Ebu ngoja kwanza Chaliangu..Kaskazini mbona tuko yente asee!!Huu utafiti ni batili.
 
Mkuu umeacha nyanda za juu kusini, home of gentlemen and hard workers!!
Utafiti mpya unaonyesha kua wanaume wa kanda ya ziwa hupewa kipaumbele kikubwa na sehemu kubwa ya wanawake wa Tanzania. Utafiti huu unafanywa na taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na mambo ya kijamii, utafiti huu utachapishwa hivi karibuni kwenye magezati na mitandao ya kijamii. Mimi natoa tips tu.

Katika utafiti huo zaidi ya wanawake 3000 kutoka mikoa mbali mbali na makundi mbali mbali ya umri wanasema wangependelea kuolewa na wanaume wa kanda ya ziwa.

Sababu kubwa wanazotaja wanawake hao ni kua wanaume wa kanda ya ziwa wako masculine, physique zao zinavutia wakimaanisha wana miili ya kiume. Wanawake wengi walidai kua wanaume wengi wa kanda ya ziwa ni wapole, wastaarabu na pia ni wahongaji wazuri. Hili la kuhonga vizuri lilisemwa na wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao, aanasema mwanaume msukuma au mkurya akienda hana muda wa kunegotiate, akiambiwa 50 yeye anatoa bila shida anapiga kazi yake anaondoka lakini wahaya walionekana kua sio watoaji wazuri na wengine walifikia hatua ya kusema mhaya anaweza kutapeli mbunye, ila kwa ujumla kanda ya ziwa inaongoza kwenye huo utafiti ikifatiwa na wanaume wa nyanda za juu kusini.

Wanaume wa kanda ya kasikazini kwenye kipengele cha mapenzi walionekana wa mwisho kuanzia kuhonga, kubembeleza na kujali. Wanaume wa kanda ya pwani wamekua wa mwisho kwenye overal. Maneno mengi hakuna kitu.

Utafiti huo utachapishwa hivi karibuni.
 
Wanaume wa kisukuma tabia zao waulizeni wanawake wao wa kama kisukuma ndo mtawafahamu vizuri!

Wanawake wa kisukuma hawana hamu nao kwa jinsi wanavyowatenda!

Wengi ni malimbukeni wa mapenzi ,
Hawariziki na mke mmoja.

Sijui ni wakristo wa aina gani!

Maana mitala na wao!

Wakiongea mdomoni ulimi kama mzito vile wanakandamiza lakini huko chini utulivu wao wengine ni mashaka matupu.
 
Wanaume wa kisukuma wakioa wanawake wa makabila tofauti kidogo huwezi kuwa na kiasi na subra lakini wakioa wanawake wa kisukuma wenzao huwa ni wakorofi hatari.

Yaani huwa hawaambiliki [emoji108][emoji108]
 
Utafiti mpya unaonyesha kua wanaume wa kanda ya ziwa hupewa kipaumbele kikubwa na sehemu kubwa ya wanawake wa Tanzania. Utafiti huu unafanywa na taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na mambo ya kijamii, utafiti huu utachapishwa hivi karibuni kwenye magezati na mitandao ya kijamii. Mimi natoa tips tu.

Katika utafiti huo zaidi ya wanawake 3000 kutoka mikoa mbali mbali na makundi mbali mbali ya umri wanasema wangependelea kuolewa na wanaume wa kanda ya ziwa.

Sababu kubwa wanazotaja wanawake hao ni kua wanaume wa kanda ya ziwa wako masculine, physique zao zinavutia wakimaanisha wana miili ya kiume. Wanawake wengi walidai kua wanaume wengi wa kanda ya ziwa ni wapole, wastaarabu na pia ni wahongaji wazuri. Hili la kuhonga vizuri lilisemwa na wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao, aanasema mwanaume msukuma au mkurya akienda hana muda wa kunegotiate, akiambiwa 50 yeye anatoa bila shida anapiga kazi yake anaondoka lakini wahaya walionekana kua sio watoaji wazuri na wengine walifikia hatua ya kusema mhaya anaweza kutapeli mbunye, ila kwa ujumla kanda ya ziwa inaongoza kwenye huo utafiti ikifatiwa na wanaume wa nyanda za juu kusini.

Wanaume wa kanda ya kasikazini kwenye kipengele cha mapenzi walionekana wa mwisho kuanzia kuhonga, kubembeleza na kujali. Wanaume wa kanda ya pwani wamekua wa mwisho kwenye overal. Maneno mengi hakuna kitu.

Utafiti huo utachapishwa hivi karibuni.
first lady kahusika kwenya kuhojiwa?
 
Sijawahi kudate na msukuma ila WAKURYA nawakubali kila siku yani.
 
Tanzania imeshafanya utafiti gani ukafanikiwa?????
 
Kuna member humu alikuja kutafuta mme ila kigezo kikubwa usiwe unatokea kanda yaziwa Sasa haka kautafiti kako banaa kwajf naona hakana mashiko maana sijawahi sikia Kuna member anatafuta mme nakigezo chake kikawa umetokea kanda yaziwa.

NB: Wanaume wakanda yaziwa hawana dili sana ila wanawake wao ndio dili mkuu
Yap wana adabu kweli yani!!
 
Kweli kabisa
Wasukuma wanaongoza Ni ndoto ya kila mwanamke kuolewa na msukuma.hata Mimi natamani basi tu nimekosa
Wakurya
Wagita
Wanyamwezi sio sana maana wapo kiswahili sana kama wazaramo halafu sio wachapakazi.
Wahaya hao wanawezana wenyewe.
Hapo kwa wahaya umepatia
 
Back
Top Bottom