Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,321
Naona huu utafiti umefanywa kwa wanaume wa kanda ya ziwa vijijin,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ngoja nikuandalie mtoko ili nao uwajue.
Ndio kanda tajiri kuliko kanda zote hii nji.Kanda ya ziwa ndo Tanzania na Tanzania ni Kanda ya ziwa over
Ila Kuna wasukuma wana maneno na michambo Kama wa uko pwani
aasante sana mzee hapo k...ila wasukuma washamba,,ila wapole,,wakarimu,,ata ningekua na dada ningewapa bureNamishagha nyanda, olehaya kinene, kokaya bhamishagha? Onkimoko?
Kaskazini hawajui kuchapa mbunye wao wakikutana na mwanaume cha kwanza ni kuingiza ndani, hawajui kuichezea mbunye mpaka iteme maji, hajui kumpiga busu mwanamke mpaka mizuka ipande. Chezea wanaume wa Kanda hasa hasa Wahaya, Wanyambo, Wakerewe, Wajita, Wasubi, Wasumbwa, Wazinza, Waangaza na Washubi. Wakikuchukulia mwanamke tulia ulie tu. Wasukuma si sana, Wakurya wao wanabaka hawajui mapenzi kwa hiyo hawamo pamoja na WahjaluoHuu uzi wa kichochezi. Ngoja waje njemba za kaskazini na pwani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089]Wasukuma tupo tumetulia tu then tunajisemea, mva nyibeleja he ndi ya magi.
Bila shaka kuna zawadi PM yako utanikuta hapa ukongaSijawahi kudate na msukuma ila WAKURYA nawakubali kila siku yani.
Sawa mkuuBila shaka kuna zawadi PM yako utanikuta hapa ukonga
DuuhUtafiti mpya unaonyesha kua wanaume wa kanda ya ziwa hupewa kipaumbele kikubwa na sehemu kubwa ya wanawake wa Tanzania. Utafiti huu unafanywa na taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na mambo ya kijamii, utafiti huu utachapishwa hivi karibuni kwenye magezati na mitandao ya kijamii. Mimi natoa tips tu.
Katika utafiti huo zaidi ya wanawake 3000 kutoka mikoa mbali mbali na makundi mbali mbali ya umri wanasema wangependelea kuolewa na wanaume wa kanda ya ziwa.
Sababu kubwa wanazotaja wanawake hao ni kua wanaume wa kanda ya ziwa wako masculine, physique zao zinavutia wakimaanisha wana miili ya kiume. Wanawake wengi walidai kua wanaume wengi wa kanda ya ziwa ni wapole, wastaarabu na pia ni wahongaji wazuri. Hili la kuhonga vizuri lilisemwa na wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao, aanasema mwanaume msukuma au mkurya akienda hana muda wa kunegotiate, akiambiwa 50 yeye anatoa bila shida anapiga kazi yake anaondoka lakini wahaya walionekana kua sio watoaji wazuri na wengine walifikia hatua ya kusema mhaya anaweza kutapeli mbunye, ila kwa ujumla kanda ya ziwa inaongoza kwenye huo utafiti ikifatiwa na wanaume wa nyanda za juu kusini.
Wanaume wa kanda ya kasikazini kwenye kipengele cha mapenzi walionekana wa mwisho kuanzia kuhonga, kubembeleza na kujali. Wanaume wa kanda ya pwani wamekua wa mwisho kwenye overal. Maneno mengi hakuna kitu.
Utafiti huo utachapishwa hivi karibuni.
Ungeandika coment hii nikiwa kijana ningekujaKweli kabisa
Wasukuma wanaongoza Ni ndoto ya kila mwanamke kuolewa na msukuma.hata Mimi natamani basi tu nimekosa
Wakurya
Wagita
Wanyamwezi sio sana maana wapo kiswahili sana kama wazaramo halafu sio wachapakazi.
Wahaya hao wanawezana wenyewe.