Utafiti niliofanya ndani ya JamiiForums kwa kipindi kama hiki miaka ya utawala wa Magufuli hakukuwa na malalamiko ya umeme kukatika mara kwa mara

Akili zako zimeyumba kama dish.

Kwa taarifa yako ni kuwa hii ni awamu ya 6 hizo habari za awamu ya 5 tupa kule hakuna mtu mwenye muda huo.

Mbona huwa unademka sasa pale inapojadiliwa awamu ya 5 kama sasa ghafla umerukwa uchizi kutamkwa awamu iliyopita kama hakuna mtu mwenye muda huo? Rubbish contribution
 
Mbona huwa unademka sasa pale inapojadiliwa awamu ya 5 kama sasa ghafla umerukwa uchizi kutamkwa awamu iliyopita kama hakuna mtu mwenye muda huo? Rubbish contribution
Ccm ni wale wale ila sasa mmegawanyika kati ya sukuma gang na wale wakojani
 
Sasa unataka utuambie nini ikiwa kipindi kama hiki hiyo awamu mvua zilikuwa stable,hapo umeme ungekatikaje?

Ni hivi yule mtu wenu hawezi kukwepa lawama,kwa nini asingewekeza japo bil.500 kwenye umeme wa gas Ili kufidia in case kuna dharura kama hii ya ukame badala yake akakomaa na Bwawa ambalo hata haijulikani litaisha lini?

Km 200 tu za sgr zilimshinda miaka 6 sasa zigo bovu kaangushiwa Samia ati amalize ndani ya mwaka.Acha upuuzi wewe.
 
Alikataa mitambo ya kifisadi ya IPTL na Dowans akakataa umeme wa gesi ,akakataa kutumia majenereta akakataa visingizio kuwa ohh Tabia nchi imebadilika mabwawa ya kuzalisha umeme hayana maji ya kutosha pamoja na kukataa yote hayo umeme ulipatikana.

Mnataka kuibia wananchi mpige pesa tafuteni sababu nyingine
 
Baada ya kukataa hayo yote ametibu tatizo lipi la Umeme hadi sasa kwenye Hali ya dharura ya upungufu wa maji coz of ukame ? Mtu jasiri fundi wa matumizi ya nguvu asiye na maarifa.Useless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…