KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
[emoji16][emoji23][emoji2]Aaah aah.
Kaekewa mpaka za mwezi november watu wanalalamikia umeme.
Tuwasamehe tu wajana hawa bado wana sononeko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji23][emoji2]Aaah aah.
Kaekewa mpaka za mwezi november watu wanalalamikia umeme.
Tuwasamehe tu wajana hawa bado wana sononeko.
Akili zako zimeyumba kama dish.
Kwa taarifa yako ni kuwa hii ni awamu ya 6 hizo habari za awamu ya 5 tupa kule hakuna mtu mwenye muda huo.
Huyo siku zote yupo hivyo na hatobadilika ni kati ya watu walio okotwa jalalani.
Ccm ni wale wale ila sasa mmegawanyika kati ya sukuma gang na wale wakojaniMbona huwa unademka sasa pale inapojadiliwa awamu ya 5 kama sasa ghafla umerukwa uchizi kutamkwa awamu iliyopita kama hakuna mtu mwenye muda huo? Rubbish contribution
Sina undugu na mwendazake.Mbona wewe Mmawia pia akili yako haibadiliki pindi anapotamkwa mwendazake?
Mkaufufue mzimu wenu kama hamuwezi mkae kwa kutulia.Umeelewa bandiko!! ana una comment hovyo hovyo!!.?
Sasa unataka utuambie nini ikiwa kipindi kama hiki hiyo awamu mvua zilikuwa stable,hapo umeme ungekatikaje?JamiiForums ni eneo ambalo watu wakiona kero huwa hawaiachi na Hakuna wa kuwazuia wasiandike
Nimejitahidi kufanya utafiti kupitia nyuzi zote za kipindi chote cha utawala wa Magufuli mwezi kama huu wa 11 miaka yote ya utawala wa Magufuli baada ya kuapishwa kuanzia 2016 November hadi 2020 November nikaangalia vipindi vyote vya November miaka yote hakukuwa na malalamiko ya wananchi humu jamii forums ya tatizo la umeme kukatikatika nchi nzima Kama Wala la maji ya ratiba ya mgao Dar es Salaam
Nilifanya hivyo sababu wengine wanadai ni kawaida kipindi kama hiki cha November huwa na hiyo shida hivyo kuletelea shida ya tatizo la maji na umeme. Hilo lalamiko sikuliona kipindi chote cha Magufuli humu Jamiiforums watu wakiibua threads za malalamiko kama sasa
Tafsiriri yake nini?
Alikataa mitambo ya kifisadi ya IPTL na Dowans akakataa umeme wa gesi ,akakataa kutumia majenereta akakataa visingizio kuwa ohh Tabia nchi imebadilika mabwawa ya kuzalisha umeme hayana maji ya kutosha pamoja na kukataa yote hayo umeme ulipatikana.Sasa unataka utuambie nini ikiwa kipindi kama hiki hiyo awamu mvua zilikuwa stable,hapo umeme ungekatikaje?
Ni hivi yule mtu wenu hawezi kukwepa lawama,kwa nini asingewekeza japo bil.500 kwenye umeme wa gas Ili kufidia in case kuna dharura kama hii ya ukame badala yake akakomaa na Bwawa ambalo hata haijulikani litaisha lini?
Km 200 tu za sgr zilimshinda miaka 6 sasa zigo bovu kaangushiwa Samia ati amalize ndani ya mwaka.Acha upuuzi wewe.
Baada ya kukataa hayo yote ametibu tatizo lipi la Umeme hadi sasa kwenye Hali ya dharura ya upungufu wa maji coz of ukame ? Mtu jasiri fundi wa matumizi ya nguvu asiye na maarifa.Useless.Alikataa mitambo ya kifusadi ya IPTL na Dowans akakataa umeme wa gesi ,akakataa kutumia majenereta akakataa visingizio kuwa ohh Tabia nchi imebadilika mabwawa ya kuzalisha umeme hayana maji ya kutosha pamoja na kukataa yote hayo umeme ulipatikana.Mnataka kuibia wananchi mpige pesa tafuteni sababu nyingine