Utafiti: pombe huonyesha tabia halisi ya mtu

Utafiti: pombe huonyesha tabia halisi ya mtu

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Bukheri ndugu na wanamemba wa jamii forum,..!leo umefanyika utafiti usio rasmi na kugundua kwamba mtu yeyote akinywa pombe akalewa huwa anaonyesha tabia zake halisi yaani zile zilizojificha...mfano kama mtu ni muongeaji sana lakini hujificha kwenye kichaka cha upole....basi mtu huyo akilewa ataongea kama chiriku..lakini pia kama mtu ana tabia za utemi / kujiamini sana,basi mtu huyo akilewa anakuwa mwamba kwelikweli au anajihisi ni mwamba mwigulu nchemba yaani mtanzania yoyote yule akikuzingua unahisi una uwezo hata wa kumtimua akahamia nchi nyingine..
 
Back
Top Bottom