Utafiti: Profesa Janabi yupo sahihi 100%; watu wanajiua wenyewe kwa upumbavu wao

Mkuu umeongea vema sana. Naomba kusapoti andiko lako na makala haya hapa:
 
Kodi ya unene na kitambi ingeanzishwa ili kusaidia serikali kununua madawa na vifaa tiba kuwatibu vibonge pindi huo unene na kitambi utakapo anza kuwasumbua.
Ndio maana serikali imependekeza wanene wote walipishwe tozo ili fedha zipatikane kwa ajili ya matibabu ya raia. Hatuwezi kukubali minyama uzembe inayoligharimu taifa mabilioni y fedha bila sababu za msingi.
 
shukran kwa nyongeza.
Niliwahi pata tenda ya kumsaidia mtu kupungua.
ilikuwa kama sehemu yangu ya kaz na majukumu yangu makubwa yalikuwa kuhakikisha anapungua na uzito wake uwe sawa yan usipande tena.

Mazoezi hayakuwanye kwenye program yangu.

Nilikuwa na jukumu kuu moja la kujua mtu leo anakula nn toka anaamka. mchana na usiku anakula nini

Nilifanya kwa muda wa mwezi mmoja na mtu alipungua kilo 6 na alikuwa anakula na kushiba.


Elimu ya lishe n muhmu sana kwa ustawi wa maisha yetu na wanaotutegemea
 
Mkuu kwa kweli umeongea jambo zuri sana. Hii mijianamke minene ni shida sana. Hata mkuu DeepPond analijua hili aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…