ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
Baadhi navisahau[emoji1] [emoji1]Hahaha baada ya mchezo unavisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baadhi navisahau[emoji1] [emoji1]Hahaha baada ya mchezo unavisahau
We utakuwa unapiga viyowe vyembamba vilivyoambatana na vimaneno vilaini na miguno ya ukweliBaadhi navisahau[emoji1] [emoji1]
Kumbe wanaume huwa tunaongopewa[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Kumekuwa na tabia au hali ya wanawake wengi kupiga kelele au unaweza kusema kutoa sauti wakati wakishiriki tendo la ndoa. Hali hii imeacha maswali kama kutoa huko sauti ni jambo la asili au ni mwanamke mwenyewe anaamua hapa atoe sauti na kwingine asitoe.
View attachment 694958
Mwaka 2011 watafiti wawili mmoja kutoka Chuo Kikuu cha Lancashire na mwingine kutoka Chuo Kikuu cha Leeds wote wa nchini Uingereza walichapisha utafiti wao walioufanya uliokuwa ukihusu utoaji wa sauti wa kati wa kujamiina. Walitaka hasa kujua kwanini wanawake hutoa sauti hizo.
Katika utafiti huo, waliwahoji wanawake 71 wenye umri kati ya miaka 18 na 48 ambao hushiriki mapenzi mara kwa mara juu ya utoaji wa sauti wakati wa kujamiiana.
Katika utafiti huo ulibaini kuwa wanawake wengi huto sauti hizo lakini sio pale tu wanapokuwa wamefika kileleni. Asilimia 66 walisema kuwa hutoa sauti wakati wa kujamiina ili kuwasaidia wenza wao kufika kileleni haraka, wakati asilimia 87 walisema kuwa hutoa sauti hizo ili kuwaongezea wenza wao kujiamini kwa kile wanachokifanya kuwa wapo sawa.
Wanawake walieleza kuwa mara nyingi hutoa sauti wakati wenza wao wanapofika kileleni. Baadhi pia walieleza kuwa sauti hizo huwasaidia kuwaondolea uoga walionao, hali ya kutojisikia kuwa sawa, wakati mwingine kuondoa maumivu lakini pia kama njia ya kufurahia raha anayokuwa anaipata.
Aidha, wataalamu hao walisema kuwa kwa vile wanaume wengi huhusisha utoaji wa sauti na mwanamke kufika kileleni, basi baadhi ya wanawake hutoa sauti hizo kwa uongo ili tu kuwaridhisha wenza wao waone kila kitu kipo sawa.
Kwa upande mwingine, imegundulika kuwa wanawake si jamii ya wanyama pekee ambao hutoa sauti wakati wa kujamiiana kwani hata nyani (baboons) wana aina zao za sauti ambazo huzitoa wakati wakijamiiana.
Imeelezwa kuwa wakati mwingine huwa ni vigumu sana kuelezea kila kinachotokea wakati wa kijamiiana kwa sababu kila mtu huwa na utashi wake. Lakini kitu wataalamu walichokubaliana ni kuwa sauti hizo zinaweza kumsaidia mwenza kujua kama anachofanya ni sasa hivyo aendelee au aache, aongeze au apunguze.
Chanzo: Swahili Times
[emoji4] [emoji4] umejuajeeWe utakuwa unapiga viyowe vyembamba vilivyoambatana na vimaneno vilaini na miguno ya ukweli
Isije visema hapa ..vitaleta sintofahamu[emoji1]Aiseee[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mmmh, I wish...[emoji4] [emoji4] umejuajee
[emoji1] [emoji1] na mods wafute uziIsije visema hapa ..vitaleta sintofahamu[emoji1]
[emoji15] nini?Mmmh, I wish...
[emoji102][emoji102][emoji15] nini?
hahahhahahahahahaha yaaani nimecheka kwa sautiii kakaWanyiramba ni balaa kwa sauti. Yaani kabla hata hujauchomeka yeye ashaanza kuulilia.
we hujawahi kupiga? bac inaonekana hukunwi!!Kumbe wengine wanapigaga kelele 😱😱 hatari Sana.
[emoji126] [emoji126][emoji102][emoji102]
Unakuja huku au?[emoji126] [emoji126]
Akuu[emoji124] [emoji124]Unakuja huku au?
Haha sio vizuri hivyoAkuu[emoji124] [emoji124]
MmmnhHaha sio vizuri hivyo
Kweli yaniMmmnh
Sio kweliKweli yani