Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah kweli wazuri sanamkuu dodoma wapo wale wanaoishi kondoa ,,,ni wazuri hatari alafu kama wamemix na shombe la kiarabu
Uchungu wa kipumbavu ndo mana wabongo ampew research za madin na gecHapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Mkuu acha uongo, Wanawake wa Mara si wazuri.Mimi mwenyewe nimekaa Mara miaka mitatu yaani hao madada zenu wanafanana na wanaume.Na labda tuongezee tu kuwa nje ya kuwa na hizo Sura zao nzuri wa Arusha na Kilimanjaro ni ' Wezi ' wazuri tu, huku wa Manyara na Singida ni ' vichenchede ' tupu, wa Tanga, Pemba na Unguja ni ' Walozi / Vigagula ' wazuri tu, wakati wa Tabora na Dodoma ni ' walafi ' kupindukia na wa Dar ambao ni Wazaramo ni ' wachafu ' mno.
Binafsi nimetembea Mikoa mingi sana nchini Tanzania ila sijawahi kupata kuona Mkoa wenye Wanawake ' wazuri ' na ' warembo ' kama wa kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) na sishangai ndiyo maana hata siku hizi Wanaume wengi wanakimbilia sana kwenda kuoa Wanawake wa huko ( Mara ).
Msiopenda kwenu mnataka mtsmbulike kwenye miji ya watu.Ona fahari unapotokaUnajua Dar ni mkoa wa watu gani? Huku kuna kila kabila. Ko isihesabike kwa kweli
bukoba shape.vyura wa kutoshaDuh bukoba amna ??? Wkt kule wamechanganyika na rwanda jmn black beauty
na mimi naona hivo anaangalia sura sio shepMmmh ngoja wake,
Vipi kigezo cha Rangi pia kimetumika nini? Naona maeneo yote uliyotaja yamejaa wanawake weupe!
Mi sitokei Dar. Ila naishi hukuMsiopenda kwenu mnataka mtsmbulike kwenye miji ya watu.Ona fahari unapotoka
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni