Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

Wanawake wa Mara hawataki mchezo
1475824389773.jpg
 
mabinti wa Dar ni wa kuchapa tu na kuwaacha, hawafai hata kuishi nao.
Mjini pesa kijijini kilimo mkuu,kama huna pesa kuchapa huchapi na kuoa huwezi kwa matunzo ya binti wa mjini gharama kwa hiyo nyie wa mikoani mtaishia kuumia moyo
 
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Utafit wako ni wa kichochez
 
a thing for ''whitey/light skinned'.........that pretty much describe your ''flavor''.
 
Na Dodoma nayo eti imo[emoji23][emoji23]..jamaa una masihara sana
 
Unajua Dar ni mkoa wa watu gani? Huku kuna kila kabila. Ko isihesabike kwa kweli
 
Mbona hujataja kusini! Wao ndo wabaya wote?
 
Dah...mwanamke mzuri ni Yule aliyefanana na mama yake[emoji4]
 
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Nilifikiri Zanzibar ni Nchi, Unguja ina Mikoa mitatu na Pemba 2- Kumbe kwa tanganyika ni mkoa mmojatu? ahaa
 
Huu utafiti unafanya tuanze kutafakari upya tulichowapendea wapenzi wet ambao mikoa yao haijatajwa!!
 
Mjini pesa kijijini kilimo mkuu,kama huna pesa kuchapa huchapi na kuoa huwezi kwa matunzo ya binti wa mjini gharama kwa hiyo nyie wa mikoani mtaishia kuumia moyo

Unanichekesha, yaani niumie moyo kwa demu wa Dar, wanawake wote wazuri hawa waliojaa mikoani? Dar ni kiiiji tu.
 
Back
Top Bottom