Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Wanawake wa Mara hawataki mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
seriously!? unafananisha mabinti wa Dar na wa kijijni? labda una tabia ya kuopoa ma house girl mkuu.
Wanawake wa Mara hawataki mchezo View attachment 413828
Mjini pesa kijijini kilimo mkuu,kama huna pesa kuchapa huchapi na kuoa huwezi kwa matunzo ya binti wa mjini gharama kwa hiyo nyie wa mikoani mtaishia kuumia moyomabinti wa Dar ni wa kuchapa tu na kuwaacha, hawafai hata kuishi nao.
Utafit wako ni wa kichochezHapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Hapo kwa Dodoma labda anamaanisha wale warembo wa kwenye vyuo vilivyopo pale.Dom kuna warembo wengi sana. Nahisi inatakiwa iwe top 5
Mara hyo kwan hawawez kubeba pipaWacha uwongo mkuu, huyu ni mchagga au mpare huoni hilo pipa la mbege?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aaaaah Mara jaman
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwakweli....kwenye hayo maandamano na me ningekua mstari wa mbeleKas kazi hoiyeeeerrrrr....
Na usingeiweka Rchuga ningeandamana
Mbege haiwekwag kweny haya madude ya chuma ww, afu uchagan kuna magari sio baiskeli. Hii ni mara huko bundaWacha uwongo mkuu, huyu ni mchagga au mpare huoni hilo pipa la mbege?
Nilifikiri Zanzibar ni Nchi, Unguja ina Mikoa mitatu na Pemba 2- Kumbe kwa tanganyika ni mkoa mmojatu? ahaaHapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Mjini pesa kijijini kilimo mkuu,kama huna pesa kuchapa huchapi na kuoa huwezi kwa matunzo ya binti wa mjini gharama kwa hiyo nyie wa mikoani mtaishia kuumia moyo
Endelea kuishi kijijini mkuu huko kunafaaUnanichekesha, yaani niumie moyo kwa demu wa Dar, wanawake wote wazuri hawa waliojaa mikoani? Dar ni kiiiji tu.