Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

Ww utafiti wako ni wa kukulupuka hauna ukweli wowote ipo sababu ya kukumbia hivyo, 1.mwanza haipo. Kwa sababu huwezi kuzungumzia mamanzi wakali hapa Tanzania, ukasita kuzungumzia mwanza, 2.mara hasa tarime, umeshindwa kuizungumzia,kisa lambda umefikilia kwamba, sifa ya mkoa wa Mara ni ya watu watundu kwa hiyo hata umeshindwa kuwa sifa yao ya urembo, 3.we mtafiti gani huna history background ya mikoa inayo toa warembo, mfano mkoa wa arusha una history ya kutoa wasicha wakali katika mashindano ya warembo, hivyo bac mkoa huu unawarembo kibao hapo umebugi, pia, nne, utafiti wako hauna masilahi yoyote kiuchumi, kwanza umebugi, sita yawezekana, mikoa hiyo yote unamichepuko ndo unikusumbua hapa unajiongezea Kiki, wa bongo kwa michepuko mnadata na kupagawa na hata unaweza kuuza nyumba, na kuandika vitu kama Hivi ambavyo, Jamii hainufaiki, Kwa hiyo mm ningekuwa nimekutuma ww ukaja na report kama hii, nisinge ipokea na tena ungelikuwa a researcher ningeomba usimamishwe kazi Mara moja na wakuchunguze.
 
Acha mambo ya ajabu tang'ana unakosaje kuwaweka wakutokea mkoa wa Mara
 
Hivi kanda ya ziwa ina wanawake wazuri? Tuanzie hapo mwanza,mara na kagera.
Kama atapatikana mmoja ni kutoka wilaya nzima.
 
Jinsi nilivyo ona unamichepuko ktk hiyo mikoa ndo maana una tafuta kujiongezea Kick ili uendelee kuishi umekomaa, umekomaa, but poor research report
 
Umekosea sana mkuu.
Ilipaswa kuwa hivi;

1.SIMIYU.
2.LINDI.
3.KAGERA.
4.MWANZA.
5.ARUSHA.
6.NJOMBE.
7.TANGA.
8.SONGWE.
9.MOROGORO.
10.SHINYANGA....

1475700988910.jpg
 
Back
Top Bottom