Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

Sio ukweli mimi naishi nao huku kwa uzuri wa sura big no wanawake wa Mara kwa shape na miguu wamebarikiwa. Ila sura hapana sio wazuri na hawajui kujiremba na kingine tabia ya umalaya wako so cheap..
Kanda ya ziwa wote Mara, Mwanza na Kagera wamejaaliwa shepu halisi na miguu bomba lakini siyo sura. Sura bwana Singida, Tabora, Arusha, Dodoma(Warangi), Kilimanjaro (ila toa Same), na Zanzibar acha kabisa.
 
Sio ukweli mimi naishi nao huku kwa uzuri wa sura big no wanawake wa Mara kwa shape na miguu wamebarikiwa. Ila sura hapana sio wazuri na hawajui kujiremba na kingine tabia ya umalaya wako so cheap..

Kwa niaba ya Dada zangu wote wa Mkoa wa Mara na Wana Mara wote Tanzania na wale Diaspora tunaomba utuombe radhi haraka na upesi sana ila kama Wewe ni wa kutoka Kagera au Kigoma au Singida au Dodoma ( Kondoa ) basi ' umesalimika ' na tumekusamehe kwani nyie ni ' Wajomba ' na ' Shangazi ' zetu ila kama hutokei katika moja ya hiyo Mikoa tajwa hapo juu tafadhali ' jisalimishe ' mwenyewe vinginevyo ' tutakuskopioni ' vibaya sana.
 
Mikoa mingine inawachapa kazi tu nimefurahi mkoa wangu kutokuwemo kwenye list hiyo ya kishambenga.
 
Andika Morogoro siyo mlogolo we umesomea wapi?ukome kutuandikia pumba zako hapa.

Utakuja kumwambia baba yako ukome...wee subiri Siku nimevaa kanga ya mameko ndio utaniheshimu...dume zima unatoa uharo kama umefumuliwa malinda?!
 
Utakuja kumwambia baba yako ukome...wee subiri Siku nimevaa kanga ya mameko ndio utaniheshimu...dume zima unatoa uharo kama umefumuliwa malinda?!
Vilaza wapo wengi kumbe hata wewe umo eti unaandika "mlogolo" badala ya morogoro rudi shule ukasome.
 
****** wapo wengi kumbe hata wewe umo eti unaandika "mlogolo" badala ya morogoro rudi shule ukasome.
Kweli E="shimwe, post: 18011469, member: 158162"]****** wapo wengi kumbe hata wewe umo eti unaandika "mlogolo" badala ya morogoro rudi shule ukasome.[/QUOTE

]
kweli wazimu in fani..wewe unaweza ukamfundisha mnyakyusa atamke herufi 'v'? Hivi kuna issue gani mimi kuandika mlogolo kwa mahaba yangu? Hata hujui kwamba hujui...
 
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Arusha na kilimanjaro wana uzuri gani ..? nyuma wako flat screen[emoji3] [emoji3]
 
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
You need to reverse your list upside down
 
Mleta uzi mbaguzi mikoa yenye watoto warembo weusi umeiminya.
Usijali ndugu..kesho na mie nitakuja na utafiti wangu utakaoonyesha Kigoma kuongoza kwa watoto wazuri..
 
Back
Top Bottom